Wasafi FM @wasafifm
2k Posts
270k Followers
1 Following
The official instagram page for 88.9 Wasafi FM #SendYourMusic to [email protected] .com
2k Posts
270k Followers
1 Following
The official instagram page for 88.9 Wasafi FM #SendYourMusic to [email protected] .com
Ndoa ya Muigizaji Jimmie Foxx na Katie Holmes imevunjika baada ya Miaka 6 pamoja. . Taarifa za wanandoa hawa kuachana zimekuja baada ya Jimmie Foxx kuonekana akiwa pamoja na Mrembo mwingine anayejulikana kwa jina la Sela Vave siku ya Jumamosi wakitoka Club, Mwanzoni ilidhaniwa kuwa labada anachepuka lakini imefahamika kuwa ndoa yake imevunjika. . Mtandao wa Pagesix umeripoti kuwa Katie Holmes aliwathibitisha watu wake wa karibu kuwa ameachana na Jimmie kwa Zaidi ya miezi kadhaa sasa. . #BalaaZito#HainaKufeli#HuuNiMwakaWako#SanaaImezaliwaUpya
1k 14
Baada ya Kuongoza chart kubwa Zaidi za Muziki Duniani “Billboard Hot 100’ kwa wiki 19 Mfululizo, Lil Nas X hatimaye amekubali kuiachia nafasi hiyo. . Hii inakuwa wiki ya kwanza ndani ya miezi mitano ambapo nyimbo la “Old Town Road’ sio namba moja duniani tangu ilivyoshikilia kilele cha chart hizo wiki 19 zilizopita, Ufalme wa Lil Nas X umemalizwa na Kinda mwingine, Billie Eilish ambaye wimbo wake wa 'Bad Guy' kwasasa ndio namba moja kwenye Billboard Hot 100 Huku Old Town Road ikishuka hadi namba 3. . Kama ilivyokuwa kwa Lil Nas, Bad Guy pia ndio wimbo wa kwanza kabisa wa Billie Eilish kuionja namba moja ya Chart za Billboard Hot 100. . #BalaaZito#HainaKufeli#HuuNiMwakaWako#SanaaImezaliwaUpya
1k 20
UTALII -ARUSHA NATIONAL PARKS . . Baada ya Kutembelea Hifadhi ya Arusha, Star @diamondplatnumz Amesema Kuwa Akirejea Kazini Anategemea Kudondosha HITS Tu, Kutokana na Akili Yake Kuwa Safi Na Kurelax Kupitia Vivutio Tofauti Ambavyo Ametembelea Akiwa Kwenye Tour ya #Was#WasafiFestival2019 #TanzaniaUnforgetable #KanyagaMpakaArushaNationalParks @tz_unforgettable @tawa_tanzania @crater_ngorongoro @tanzaniaparks @hamisi_kigwangalla @kili_lager @pepsi_tz & @sequadrinkingwater Ni msimu wa #WasafiFestival2019 #BANGOKUBWAAA #BALAAZIIITOOO
3k 36
Kama Mabalozi Wazuri wa Utalii Hapa Nchini, Mastaa wa #Was#WasafiFestival2019 Wanazidi Kuwakumbusha Watanzania Kupenda Vya Nyumbani na Kuwa na Utamaduni wa Kutembelea Mbuga zetu na Vivutio vingine vya Utalii #TanzaniaUnforgetable #KanyagaMpakaArushaNationalParks @tz_unforgettable @tawa_tanzania @crater_ngorongoro @tanzaniaparks @hamisi_kigwangalla @kili_lager @pepsi_tz & @sequadrinkingwater Ni msimu wa #WasafiFestival2019 #BANGOKUBWAAA #BALAAZIIITOOO
396 10
Baada ya Kufanya Utalii Ndani ya Hifadhi za Arusha .... Wasanii Waliezea Kile Walichojifunza Wakiwa Kama Mabalozi Wazuri Wanaotegemewa Kuisambaza Elimu kwa Wananchi Kuwa na Desturi na Kupenda Kutembelea Vivutio vilivyopo Nyumbani #TanzaniaUnforgetable #KanyagaMpakaArushaNationalParks @tz_unforgettable @tawa_tanzania @crater_ngorongoro @tanzaniaparks @hamisi_kigwangalla @kili_lager @pepsi_tz & @sequadrinkingwater Ni msimu wa #WasafiFestival2019 #BANGOKUBWAAA #BALAAZIIITOOO
291 5
Mastaa Walioenda MOSHI Kwa Ajili ya #WasafiFestival2019 Walipata Nafasi ya Kipekee Kutoka Bodi ya Utalii, Kwenda Kutembelea Vivutio vya Asili Vinavyopatikana Katika Jiji la Arusha Na Walifanikiwa Kufika Mpaka Arusha National Parks na Kufanya Utalii wa Ndani Lengo likiwa Kutangaza Uzuri wa Nchi Tulionao na Kujua Ardhi ya Tanzania Ina Vivutio vya Namna Gani #TanzaniaUnforgetable #KanyagaMpakaArushaNationalParks @tz_unforgettable @tawa_tanzania @crater_ngorongoro @tanzaniaparks @hamisi_kigwangalla @kili_lager @pepsi_tz & @sequadrinkingwater
1k 34
Unaisikiliza #Block89 Ukiwa wapi Muda Huu? . Baba Akoo @jonijooo @thisisaaliyaah na Ubavu Chuma @Mtuimara , Your Cuz @iamcalypsoo & @DjKidylax Wapo na Wewe Hadi saa 5 Usiku. . HAKIKISHA SPIKA ZA REDIO 📻 ZINAKUA ACTIVE 🔥🔥🔥 . #BLOCK89#Block89WFM#HiiNiYetuSote#sanaaimezaliwaupya
4k 77
Drop Comment Yako alafu tutaruka nayo kwenye #Gro#GroupAdmin ya #Blo#Block89 WasafiFM 88.9 📻🔥🔥 . #GroupAdmin #GroupAdminWFM #Block89 #hiiniyetusote
1k 61