1 0
#roommates thoughts?๐Ÿ‘€
87 15
#roommates ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ shoga yangu kikaangoni alitumiwa pesa 100,000 naira sawa na 632,000 zamadafu ili aposti wimbo wa msanii na acheze ili wimbo upate kujitangaza. . Shoga yangu #bobrisky222 baada yakuchukua mkwanja kapiga kimyaaaa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† walipo muuliza akaangusha kichambo cha haja na akagoma kurudisha pesa. . Baada yacku kadhaa akapost huo wimbo akiwa anacheza bila kumshirikisha alie mpa pesa na akapiga kimyaaaa. Tatizo linakuja boss hakutaka acheze tena maana mda walio pangiana umekwisha pita boss anataka pesaa . Bi dada hataki kuckia habari yakurudisha mkwanja ndio kwanza kakaa kimya kama hawaoni wala hawasikii.
245 10
4 1