PICHA mama akiwa na wanae akiwa anajua yeye ni nani na ana majukumu gani (#malikiawanguvu) mama uyu alinapambana sana kuakikisha watoto wake wanapata chakula maradhi na mahitaji mengine na alipambana watoto wawe na afya njema hili watoto wake watimize ndoto zao na kwa juhudi za mama uyo alifanikisha mtoto wake mmoja kati ya ao kwa sasa ni daktari mkubwa sana yuko japani na mtangazi wa kipindi cha #njiapanda ktk #redioyawatu #cloudsfm na #afyacheck on #cloudstv @drisaacmaro so hongera mama isaac maro kwani ni malkia wa nguvu #malkiawanguvu
52 1
Mabadiliko ya masafa ya #RedioYaWatu @cloudsfmtz #Lin#Lindi, #Mbe#Mbeya, #Sin#Singida na #Mos#Moshi. Sasa tunasomeka #Lindi 88.7 #Mhz#Mhz#Mhz#Mhz, #Mbeya 88.5 #Mhz, #Singida 88.9 #Mhz na #Moshi 88.7 #Mhz haya ndio Masafa Rasmi ya #CloudsFM . Kama una tatizo lolote la usikivu kipande hicho piga simu 0712521450. #Clouds2018 #AmkaInakusubiriDunia #MalkiaWaNguvu
28 1
Mabadiliko ya masafa ya #RedioYaWatu #Lin#Lindi, #Mbe#Mbeya, #Sin#Singida na #Mos#Moshi. Sasa tunasomeka #Lindi 88.7 #Mhz#Mhz#Mhz#Mhz, #Mbeya 88.5 #Mhz, #Singida 88.9 #Mhz na #Moshi 88.7 #Mhz haya ndio Masafa Rasmi ya #CloudsFM . Kama una tatizo lolote la usikivu kipande hicho piga simu 0712521450. #Clouds2018 #AmkaInakusubiriDunia #MalkiaWaNguvu
996 44
Dah this is too deep..I am humbled to my core ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ. Thank you my CMG family ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ #Repost @cloudsfmtz with @get_repost ใƒปใƒปใƒป Pichani ni Mama na wanawe. Hapo Mama tayari anajitambua yeye ni nani (#MalkiaWaNguvu) toka kitambo. Watoto aliowashika hawakuwa wanafahamu lolote. Nguvu yake yeye Mama ilitumika kuwalinda, kuwalea, na kuwapa muongozo wafikie ndoto zao. Kuna mengi hatuyajui kuhusu Mama huyo, mengine tunayajua lakini hatuwezi kuandika yote. Moja tunalokuambia kabla siku ya leo haijapita, mtoto mmoja wa Mama huyo sasa hivi ni Daktari, yuko Japan lakini pia ni Mtangazaji wa #NjiaPanda ya #RedioYaWatu: @drisaacmaro. Daktari Isaac alizaliwa tarehe kama ya leo,tusaidiane kumuombea dua njema. #HappyBirthdayIsaacMaro #ThePerfectTBT
2k 88
#MalkiaWaNguvu 2018: Tunatazama makovu aliyonayo mwanamke wa Tanzania na kuyapa thamani (#KovuLenyeThamani) Tarehe ya tuzo itatangazwa baadae mwezi huu, ila kwa sasa bado tunatafuta majina ya wanawake wanaostahili tuzo hizi. Kutakuwa na vipengele takriban 10. Endelea kupendekeza majina huku ukitegea sikio #RedioYaWatu na macho yako yasibanduke @cloudstv #AmkaInakusuburiDunia
1k 249
@Regrann from @cloudsfmtz - Pichani ni Mama na wanawe. Hapo Mama tayari anajitambua yeye ni nani (#MalkiaWaNguvu) toka kitambo. Watoto aliowashika hawakuwa wanafahamu lolote. Nguvu yake yeye Mama ilitumika kuwalinda, kuwalea, na kuwapa muongozo wafikie ndoto zao. Kuna mengi hatuyajui kuhusu Mama huyo, mengine tunayajua lakini hatuwezi kuandika yote. Moja tunalokuambia kabla siku ya leo haijapita, mtoto mmoja wa Mama huyo sasa hivi ni Daktari, yuko Japan lakini pia ni Mtangazaji wa #NjiaPanda ya #RedioYaWatu: @drisaacmaro. Daktari Isaac alizaliwa tarehe kama ya leo,tusaidiane kumuombea dua njema. #HappyBirthdayIsaacMaro - #regrann
1k 21