Shamsaford @shamsaford
910 Posts
2.2m Followers
1k Following
Actress, Business woman, Super woman. The founder of ELIMU KWANZA CEO OF @Mapenziclassicshop @madirapambe 0628574580 Mother of Terry Born July 31
910 Posts
2.2m Followers
1k Following
Actress, Business woman, Super woman. The founder of ELIMU KWANZA CEO OF @Mapenziclassicshop @madirapambe 0628574580 Mother of Terry Born July 31
kila mtu anapenda kusaidiwa lakini kuna misaada mingine mpaka mtu unajuta kwann umesaidiwa. utafanywa tangazo kila sehemu,utasemwa na kusimangwa kila sehemu,utafanywa mtumwa,hata kama akikuudhi itabidi tu umchekee, Huyo mtoa msaada atajiona Mungu MTU kwamba bila YEYE maisha hayaendi, hapo bado hajakubania sehemu utasema yeye ndo mtoa RIZIKI. Misaada ya aina hiyo ni bora ikupite ufe na shida zako tu maana itafika sehemu utamsujudu yeye na kumsahau Mwenyezi Mungu ..
4k 84
viatu vinapatikana dukani kwetu. piga number 0628574580 kwa maelezo zaidi
862 4
vinapatikana dukani kwetu @mapenziclassicshop piga number 0628574580
531 3
amependeza sana na dira zuri kutoka kwetu. mitandio na dira kama hilo yanapatikana dukani kwetu @madira_pambe @mapenziclassicshop piga number 0628574580
1k 23
mitandio mizuri kama hiyo inapatikana dukani kwetu @mapenziclassicshop @madira_pambe piga number 0628574580 kwa maelezo zaidi @sharifahhamza
2k 5
MITANDIO na madira yanapatikana dukani kwetu. piga number 0628574580 .@madira_pambe
2k 22
Elimu solutions gives you an opportunity to study abroad through scholarships in countries of China, Japan, Australia, Russia and South Korea. Our scholarships are of different courses including science and technology, arts and design, engineering, business management, education and law. Apply now for July and September intakes. Application is on progress, for more info visit us at Mwananyamala, Komakoma, Biashara complex, first floor, suite 106.
223 2
My dady Marehemu mzee ford.Alikuwa ni mtu maarufu sana hapa Dar es salaam. Alikuwa ni mpenda watu na mcheshi kwa kila mtu. Ni mtu ambae alikuwa na upendo kwa kila mtu bila ubaguzi wowote. Kutokana na mali alizokuwa nazo kipindi kile na umaarufu wake ilipelekea mpaka bendi ya SIKINDE Kumuimba. Alikuwa ni mtu mwenye marafiki wengi sana kiasi kwamba kwa kipindi kile ilikuwa ni ngumu sana kumjua rafiki wa kweli kwake . Mzee FORD hakuwa mchoyo kabisaa alipenda kusaidia kila mtu pale alipoweza.Mali zilipoanza kuisha marafiki wote walikimbia wakabaki marafiki wale tu waliokuwa na mapenzi ya dhati na baba. ,ndugu zake na watoto wake tu Mpaka pale UMAUTI ulipomfika. Historia ya baba yangu inanifunza vitu vingi sana la kwanza ukiwa na kitu utakuwa na marafiki wengi,kila mtu atakuchekea lakini mwisho wa siku hutowaona kwenye SHIDA.Kingine nilichojifunza hata uwe maarufu na Mali nyingi lazima ufe tu.Kwahiyo ni lazima tuishi vizuri na kila mtu ,usimdharau mtu na tuandae maisha yetu ya baadae.Pia kwa sisi vijana TUTUMIE muda wetu VIZURI kwa vitu vyenye manufaa na kwa faida kwetu.MWENYEZI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI BABA YANGU KIPENZI MR FORD. I MISS U DADY
7k 216