DC NACHINGWEA @rukiamuwango_
112 Posts
1k Followers
304 Following
KARIBU KATIKA UKURASA WA MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA -LINDI-TANZANIA
112 Posts
1k Followers
304 Following
KARIBU KATIKA UKURASA WA MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA -LINDI-TANZANIA
100 5
Wiki ya ukaguzi wa miradi ya #TASAF na mikutano ya hadhara vijiji vya #Nachingwea. #Hapakazitu
104 7
Picha ya @mustafashujaa
113 6
Asante sana @channeltentz
70 4
59 2
Leo Tar 14/4/2018 Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), wameanza upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi. Ni zoezi litakalodumu leo, kesho na keshokutwa jumatatu, pia watafanya clinic kwa walioshindwa kufika MOI siku za nyuma. Zoezi limefanikiwa watoto 15 watafanyiwa upasuaji, na wengine watapata ushauri wa Kitabibu Mimi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, ninajivunia kusababisha kupatikana kwa huduma hii muhimu kwa watoto wa Nachingwea Mkoa wa Lindi na mikoa ya jirani, hususan Mtwara na Ruvuma. Natoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa MOI kwa kukubali ombi langu na kunipa ushirikiano tangu mwanzo wa kampeni hii hadi sasa tunavyohitimisha zoezi hili kwa kukamilisha matibabu. Mungu ataweka baraka zake. Cc: @ummymwalimu @drisaacmaro @faustine_ndugulile @jembenijembe @mbukuku @michuzijr @cloudstv @timesfmtz
105 8
Wewe ni zaidi ya Kiongozi, kwangu ni rafiki, Mwalimu mwenzangu, mshauri and my mentor. Nakumbuka busara zako tulipokuwa Morogoro, hakika sijuti kukufahamu. Mungu azidi kukubariki, na akuepushe na maradhi uishi miaka mingi. #HappyBirthday to you #Dc @dc_queenmlozi #Hapakazitu
110 4
Binadamu hupata faraja sana anapotembelewa akipata tatizo.... Mama huyu aliyemzaa mtoto mwenye kichwa kikubwa na mdomo Sungura anahitaji faraja, ni uzazi wake wa kwanza, ilikuwa ni ngumu kwake kupokea taarifa hizi na kukubali, aliogopa sana, Hata hivyo tumeingea naye sana kumjenga ki saikolojia.... Jambo la kushukuru ni kwamba mtoto atapata matibabu haya bure na kwa muda mwafaka... Mungu wetu ni mwaminifu sana Atatenda kwa mapenzi yake.
107 9