Pepsi Tanzania @pepsi_tz
592 Posts
24k Followers
8 Following
The official Pepsi Tanzania Instagram account #MkubwaWao #LiveForNow #LiveForNowTz #PEPSIBIGI
592 Posts
24k Followers
8 Following
The official Pepsi Tanzania Instagram account #MkubwaWao #LiveForNow #LiveForNowTz #PEPSIBIGI
Onesha upendo kwa ishara ndogo ndogo kama kumletea PEPSI! Ulivyo kua mdogo ulishawahi kuaomba zawadi au kuombwa zawadi? Halafu mtag yule ambaye anomba zawadi kila siku! 馃榿 #MkubwaWao #PepsiTz #LiveForNowTz
66 12
Jaribu kuComment neno P E P S I herufi kwa herufi bila kukatishwa. 馃槍Wengi wenu hamtaweza. #MkubwaWao #PepsiTz #LiveForNowTz
313 169
Fanya unachokipenda na hutoona kama ni kazi! 馃槑馃槑 @diamondplatnumz #MkubwaWao #PepsiTz #LiveForNowTz #BeastMode
503 17
Msosi kamili ni ule ukiwa na Pepsi, kumbukumbu nzuri ni zile unazotengeneza ukiwa na wale uwapendao. EID hii ifanye kua ya kipekee ukiwa na vyote viwili. Tunawatakia EID MUBARAK #MkubwaWao #PepsiTz #LiveForNowTz #Eid #Mubarak #eiduladha #eidmubarak #Friends #Food #Moments
135 8
Uongozi na wafanyakazi wa SBC PEPSI Tanzania, Tunaungana na watanzania wote, ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza msiba huu mkubwa uliolikumba taifa letu. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi馃檹馃徑
255 14
Inafaa kutoa pongezi pale panapo stahili.. Siku hii ya wakulima ungana nasi kuwapongeza na #MdakishePepsi Waachie comment ya pongezi hapo chini. #pepsitz #Mkubwawao #nanenane #livefornowtz
104 8
WASAFI FESTIVAL 2019 na M K U B W A W A O 馃槑馃敟 #MkubwaWao #pepsitz #LiveForNowTz #WasafiFestival2019 #BalaaZitooo
93 2
Shout out kwenu wote mlioungana nasi na kushow love kwetu na timu nzima ya wasafi. #MkubwaWao #pepsitz #LiveForNowTz #WasafiFestival2019 #BalaaZitooo
149 7