millard ayo @millardayo
28k Posts
4.9m Followers
1k Following
28k Posts
4.9m Followers
1k Following
Polisi Arusha wametoa onyo kwa wanaosambaza taarifa za kufariki kwa Watu 8 katika ajali ya magari madogo iliyotokea jana na kusisitiza ni watu wawili tu waliofariki ila wengine wawili hali zao ndio mbaya sana, amesema Kamanda Jonathan Shana. #MillardAyoUPDATES
4k 120
karibu #gsmmall msimu huu wa sikukuu ujipatie mahitaji yote ya mavazi kwa ajili yako na familia ndani ya maduka yetu ya #max #splash #babyshop #shoexpress kwa bei poa kabisa @gsmmall
791 0
Afisa habari wa Simba SC @hajismanara amesema kuwa kama Liverpool wataitoa FC Barcelona katika nusu fainali ya UEFA Champions League basi atahamia Yanga #MillardAyoSPORTS
12k 1k
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr @hamisi_kigwangalla amemualika kijana @braydonbentpage nchini Tanzania kuja kutembelea vivutio vya utalii kwa gharama za waziri. . Braydon Bent (10) amepata umaarufu mkubwa Tanzania kutokana na kuwa na umri mdogo lakini amekuwa anazungumzia masuala ya soka hususani timu yake ya Man City kiundani kama ambavyo wanafanya wachambuzi na watu wazima(swipe) #MillardAyoSPORTS ( 🎥 @johnjackson_jj )
14k 342
Antipas hii ni mara yake ya tatu kushinda na sasa hivi atatumia pesa hizi katika kuendeleza ujenzi wa nyumba yake. Hata wewe leo unanafasi kubwa ya ushindi ukipatia namba 1 kwa mpangilio wowote ule utarudishiwa dau lako ucheze mpaka ushinde. Ushindi upo hadi wa milioni 3 ndani ya dakika 10 tu na kubwa zaidi kila tiketi utakayocheza utapata nafasi ya bure ya kushiriki katika #pasakamzukajackpot Jumatano hii ambapo mamilioni yatatolewa kwa watanzania. Pesa za Pasaka kwetu bado zinaendelea kutoka ni zamu yako ya kuchukua fungu lako leo. Cheza sasa kwa kutuma dau lako kwenda namba ya kampuni 555111 kumbukumbu namba weka namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno AYO Cc. @tatumzuka #ukishindatanzaniainashinda
1k 0
Ukiachia ‘Baraka Magufuli’ Huyu ndio Mtanzania mwingine anaeigiza kuongea kama Rais Magufuli anaitwa Bongo Elias Mwaliego (MC Magu) wa Mbeya.. 😀 unampa ngapi ya 100%?
20k 1k
Polisi Arusha wamethibitisha kwamba ni Watu wawili tu waliofariki na waliojeruhiwa ni watano kwenye ajali iliyohusisha magari mawili madogo Oldonyosambu Arumeru Arusha _ Kamanda wa Polisi Arusha Jonathan Shanna amesema ajali imetokea wakati Dereva wa gari dogo alipotaka ku-overtake. #MillardAyoUPDATES
9k 204
GSM Mall Chagua Style Yako @gsmmall
1k 0