KFC Tanzania @kfctanzania
127 Posts
2k Followers
115 Following
127 Posts
2k Followers
115 Following
Jinsi tu vidole havitoshani, kila mmoja ana kile kinachomfanya kuwa bora. Share nasi kilicho spesho kukuhusu na ujisherehekee na KFC #AllStarSpecial- bonge la utamu Streetwise 2 na Krusher kwa Tsh.11,500
131 23
Bonge la kiburudisho cha kutuliza joto la Dar na Krusher unayoishabikia zaidi.
184 24
Kuna njia moja hakika ya kunyaka zawadi kutoka KFC. Kwanza ni kupakua app ya STAMP ME. Pili kukusanya stamps kila unapotembelea mgahawa wetu. Tatu ni kushinda.
76 0
Kama mishe ziligonga ukuta wiki iliyopita usikate tamaa wiki hii utafanikisha, zidi kuti fora tu. Tunawatakia wiki njema yenye mafanikio
69 5
Fikiria hili..kuwa na mwendani ambaye huwa na msosi bomba wa kukupa kila unapohitaji. Kila mmoja anahitaji rafiki kama huyu. Na ndio maana KFC ipo.
91 9
Duh! Huwa si rahisi kufanya kazi Jumatatu, hivi tuna mpango wa kitafunio kitakacho kuongezea motisha. Huu ndio mlo wa washindi, jiachie.
55 0
Duh! Mwezi kweli umekuwa mrefu. Usiufanye kuwa mrefu zaidi na mapishi ukiwa umechoka. Piga 0764 700 300 uagize bana au bofya www.kf.co.tz
91 5
Wakati mwingine, bite kadhaa za kuku krispy mwenye ladha ndio unahitaji ili uzidi kutia fora.
159 13