Goodluck Gozbert @goodluckgozbert
1k Posts
225k Followers
180 Following
Tanzanian Gospel Singer Male Artist of The Year EastAfrica (SautiAwards) Jesus Is A King, Hauwezi Kushindana Video CLICK HERE
1k Posts
225k Followers
180 Following
Tanzanian Gospel Singer Male Artist of The Year EastAfrica (SautiAwards) Jesus Is A King, Hauwezi Kushindana Video CLICK HERE
Unasimulia Rafiki Vile Umefanyiwa na Jirani Baada Ya Shopping Ya Tv, Wanakuuliza "Asa Na Wewe Tv moja tu Unapeleka Na Bajaji Ulitegemea Nini?? " Eeh Bro @wayno_tz Hii Ndio Sababu Ukasema Nimekua Limbukeni 😃😃😃😃 Najua Ulitaka Niibebe Tu Kwa Nduti ( Bodaboda) Idondoke Baadae Mseme ona Jinga Hili Halijui Thamani Ya Tv, Sie Tungeibeba Na Taxi.....!!!! Kwani Ile Bajaji Bei Gani??? 😅😅😅😅 #Hauwezi Kushindana Video Link On my Bio
5k 116
Sio Kila Unayemtakia Maisha Marefu Ndio Atayaishi, Tambua Wako watu Ambao Hautowatakia Hayo Maisha Marefu Na Watayaishi Tuu, Na Hapo Ndipo Utakapojua Mungu Hasomagi Post Zetu Ili Kufanya Mambo. #Hauwezi Kushindana Video Link On My Bio
4k 138
#Nikumbushe | In love With This Kid #Get Ur Shukurani Album for More Songs
1k 45
Kuna Kipindi Najisahau, Nakujivunia Mafanikio, Wengine Naona Takataka Nikumbushe Mi Ni mtu Tuu, Na Dunia Tunapita, Uhai Wangu Si Faida Bila Wewe. #Nikumbushe
9k 176
7k 111
Tunajifunza Kwa Sababu Tunaona Na Kusikia Kutoka kwa Wale Tunaowaona na Kuwasikia...Kisha Kuamini Inawezekana, Imekua Habari Ya Ghafla Na Kustua Ijapokuwa Sote Tunajua Kufa ni Hakika Kwa Kila Mwanadamu. Nimehuzunishwa Na Taarifa Za Kifo Chako, Mungu Akawe Mfariji Kwa Ndugu Na Marafiki Katika Kipindi Hiki Kigumu.
9k 237
Papaa On Tuesday @samsasali
441 6
Yuko Mwanafunzi Alihitimu Masomo Akapata Kazi Ya Mshahara Mzuri Mwaka Mmoja Baada Ya Kuwa Ameajiriwa Kampuni Ilipata Short, Kesi Ikamwangukia Akafilisiwa Kila Kitu Yuko Kijana Alipata Mke Wa Moyo wake, Akafunga Ndoa Ya Fahari Sana, Wakapata Mtoto, Miaka Sita Baadae Mtoto Akaugua Ugonjwa Usiojulikana Mke Akatoroka Bila Kuacha Taarifa Saa Hii Mume Yuko Wodi Ya Vichaa Na Hajui Alifikaje Hapo Yuko Binti Alifanikisha Sana Maisha Yake, Akapata Mume Aliyemtaka, Wakawa na Amani sana, Mwaka Mmoja Baadae Ikagundulika Hawawezi Kupata Mtoto, Mwanaume Akaoa Mke Mwingine Na Kumwacha Binti Kwenye Nyumba Ya Kifahari Iliyo Na Ukiwa, Mengine, Utasoma Kitabu Cha Ayubu Ila Nilitaka Kusema Jambo Hili na Wewe, " Usahihi, Usawa, Na Mnyooko Ulionao Leo Haina Maana Ndio Umekamilisha Safari Ya Maisha Yako, Kesho Bado Ni Fumbo, Hebu Endelea Tu Kumwomba Mungu Akupe Neema Na Huruma Kwa Ajili Ya Kesho" #Mwanadamu Chunga Ulimi Usichekelee Mapito ya Mwenzako, Huijui Kesho Yako
10k 470