Clouds Fm 🇹🇿 @cloudsfmtz
22k Posts
2.3m Followers
3 Following
Clouds Fm Radio Official Instagram Account. Follow us on Twitter @cloudsmedialive Facebook @cloudsfmradio
22k Posts
2.3m Followers
3 Following
Clouds Fm Radio Official Instagram Account. Follow us on Twitter @cloudsmedialive Facebook @cloudsfmradio
Regrann from @cloudstv - Kimuhemuhe cha #Spo#SportsXtraNdondoCup2018 kinazidi kujidhihirisha, joto linapanda, anga limegubikwa na wingu zito la matarajio makubwa ya timu shiriki, Mzaramo Mbwiga amewaibukia mabingwa #MisosiFc na kushuhudia kujiamini na utayari walionao..! Misosi wanasema hiviiiiiiiii!! “Moto utawakaaaaa”. #SportsXtraNdondoCup2018 @shaffih @mkazuzu.tza @issamasoud. #WashtueWana
637 9
#HappyBirthday @divatheebawse kutoka #AlazaRoho. #CloudsMediaGroup inakutakia kila la kheri katika maisha yako. #HappyBirthdayDiva
3k 43
Mchezo wa Yanga vs Ruvu Shooting umemaliza kwa sare ya 2-2. Magoli ya Yanga yamefungwa na Maka Edward na Matheo Anthony wakati ya Ruvu yalifungwa na Mcha Khamis na Kanduru. #VPL
2k 30
Ruvu Shooting wamesawazisha kupitia Issa Kaduru : Yanga 2-2 Ruvu Shooting #VPL
1k 28
@captaintanzania (#Liverpool) kwenye maandalizi ya kusherehekea ubingwa wa #UefaChampionsLeague kama watamfunga #RealMadrid kesho. #Jahazi lipo LIVE linasikika kutoka #Morogoro. #TukutaneMoroSamakiSpot
984 3
Team ya #Jahazi ipo #Morogoro (88.7 #Mhz) ikiwa ni maandalizi mahususi ya kuangalia Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya #RealMadridVsLiverpool na wakazi wa Morogoro siku ya Kesho Jumamosi katika Eneo la Samaki Spot, kwasasa Jahazi lipo LIVE @cloudsfmtz kutokea hapa Mji kasoro Bahari Morogoro. Cc: @captaintanzania @edgarkibwana @abdi_chembea. #TukutaneMoroSamakiSpot
1k 8
#TwenzetuMoroSamakiSpot | Jumamosi hii kinawaka, fainali ya Champions League kati ya #RealMadridVsLiverpool.
1k 6
Maka Edward anaifungia Yanga goli la pili dakika ya 38 ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting. : Dakika 40: Yanga 2-1 Ruvu #VPL
684 18