VeeMoney @vanessamdee
3k Posts
2.8m Followers
1k Following
I INTERRUPT MY #MoneyMondaysTheAlbum banter to celebrate and congratulate my sister @flavianamatata LISTEN WE ARE TIRED OF MAKING NON MOTIVATIONAL STORIES TREND. Please πŸ™„ and Thankyou. God bless you girl. #SmartChicksForTheWin Kitu Flavy anafanya ni kikubwa na anastahili pongezi pamoja na wanadada na wanakaka wote wanaofanya juhudi za kuendeleza jamii tunawapongeza. πŸ€©πŸ”πŸ† #MoneyMondaysPopUpShop this Saturday MlimaniCity Download link in my bio πŸ’œ
4k 51
Press Play ▢️ Jana ilikuwa mfano wa siku ya kuzaliwa ya Marehem Aaliyah. Ni msanii ambaye ameni inspire sana, angekuwa na miaka 39 leo. Katika hii Video unamuona akitoa husia pamoja na kukutana na mashabiki zake katika album signing. Kitu ambacho Mimi nitafanya Jumamosi hii pale MLIMANI CITY #MoneMondaysPopUpShop pamoja na @mdeemusicofficial na @boomplaymusic_tz njoo ujipatie nakala yako ORIGINAL ya #MoneyMondaysTheAlbum pamoja na kuTwanga selfie 🀳🏾😘 See you there. Album Download link in my bio. #YoungLegend
3k 66
This SATURDAY JOIN ME πŸ’œ UNGANA NA MIMI NA TEAM NZIMA YA @mdeemusicofficial IKISHIRIKIANA NA @boomplaymusic_tz KUKULETEA the #MoneyMondaysPopUpShop pale MLIMANI CITY MALL DAR ES SALAAM. Tutakuwa tunauza CD, TShirt, CashMadame Swim/BodySuits pamoja na SELFIES NA SIGNED CDs kibao kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili jioni mimi nitakuwepo. Come support #moneymondaysthealbum we TRENDING WORLDWIDE BABY πŸ’œ njoo ujiapatie nakala yako Original kabisa. ASANTE πŸ’œ #YoungLegend #SheKing #SwimmingInJesusJuice
8k 123
#MoneyMondaysTheAlbum now available on @mziiki πŸ”πŸ™πŸΎ
4k 75
You can now listen to #MoneyMondaysTheAlbum on @audiomack πŸ”πŸ€© @mdeemusicofficial
8k 146
Asante Sana for joining LIVE ya @mde@mdeemusicofficial @boomplaymusic_tz ya #MoneyMondaysTheAlbum kuna mengi tumewa andalia. Ninafurahi kuutumia utandawazi kwa kazi yangu ya MZIKI. Lakini nadhani kuna hamu kubwa ya kumiliki album hii kwenye mfumo wa CD vile vile. Usijali very soon #WakalaWaVeeMoney watakusogezea karibu πŸ’œ kwa wenye moyo wa ku support nawashukuru sana, inatia moyo. Giving my all as @omarisal always says. Download link in my bio πŸ™πŸΎπŸ”πŸ† @mdeemusicofficial #OneWomanArmy #SwimmingInJesusJuice #SupportYourOwn Outfit from @fatma8five 😘 #StarLook Hair from @americannailstz MakeUp by @monibeatsface 😘
10k 122
Unaweza kusikiliza album yangu nzima kupitia #VeeMoneyApp available in the AppStore and PlayStore πŸ’œ Download the VeeMoney app available in all stores to listen to my album #MoneyMondays πŸ’œπŸ”πŸ†
13k 151
Now available on @mkitodotcom #moneymondaysthealbum OUT NOW!
9k 124
Asante Sana πŸ’œ Happy Money Monday #moneymondaysthealbum OUT NOW. Physical copies yaani CD KAMA CD zitakuwa mtaani pia kuanzia ALHAMISI. Out on ALL DIGITAL PLATFORMS from Wednesday πŸ’œ God bless you. God is good πŸ™πŸΎ
14k 167
Type VeeMoney kwenye app store Au playstore ili uweze ku download app yangu mpya 😘 pia unaweza KU PRE ORDER ALBUM YANGU YA #moneymondaysthealbum inatoka kesho baby. πŸ“Έ by the baddest @ossegrecasinare πŸ’‡πŸΎβ€β™€οΈ πŸ’„πŸ’…πŸΎ by the baddest @americannailstz Styled by @joujoustyle @joujouhouseofstyle
62k 545
Just out here dreaming about Monday ... BLACK EXCELLENCE πŸ†πŸ’°πŸ§œπŸΎβ€β™€οΈ
68k 702
Happy Weekend-ing Playa πŸ’œ
26k 201