Usifanye maamuzi ukiwa na furaha sana, hasira, stress, unaumwa nk. Kwasababu mood/mawazo hua yanabadilika badilika. Umewahi kufanya maamuzi fulani ukiwa na hasira alafu baadae unajutia? #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
750 38
Kama punje za Mahindi πŸ™„ #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
450 20
Iko hivi.... . Kansa au Saratani ni jina la gonjwa ambao hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili zinapoanza kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili na kutengeneza vijiuvimbe vidogo vidogo. . Saratani hii ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wa umri miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, ni nadra sana kwa saratani hii kuwapata wanaume chini ya miaka 40, japo sikuhizi hata Wanaume wadogo miaka 20's or 30's wakipima wanakuta tatizo limekwishaanza. . Inashika nafasi ya pili kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani, ambapo namba moja inashikwa na Saratani ya Mapafu. . Tafiti za Chama cha Saratani cha Marekani (ACS) na cha Afrika Kusini (CANSA) zimebaini kuwa, mwanaume mmoja kati ya sita hupata saratani ya tezi dume katika uhai wake. . Wanasayansi wanaeleza kwamba, Mwanaume anatakiwa kupiga bao walau mara 21 kwa mwezi ili kujiondoa katika hatari yakuja kupata ugonjwa wa Kansa au Saratani ya Tezi dume (Prostat cancer). #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
618 49
Umewahi kuona hizo puto zinavotoka humo? #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
552 13
Babygirl got curves to calm yo damn ass😜😜😜😜 . . #zackwillmadeit #champagnedon #gainwithwicked_nation
212 4
She was dark with the lightest heart..never passed as the best barely making it thru..but a king found a way to make her feel like a queen, and all the thoughts and after thoughts became bs.. she finally had a reason to love and be loved.. . . . #zackwillmadeit #champagnedon #gainwithwicked_nation
316 4
COLLAGEN ni aina ya PROTINI. Kwa Binadamu/Wanyama inapatikana katika Misuli, Mifupa, Ngozi nk. Miongoni mwa kazi za Protini hii ni kusaidia kuimaisha Ngozi, kuifanya iwe laini na kuondoa Ngozi iliyokufa (dead Skin). Tofauti nikwamba kwa Samaki Collagen ipo kwa kiwango kikubwa zaidi. #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
659 22
πŸ˜‚ #chakustaajabisha Follow πŸ‘‰ @chakustaajabisha for more.
693 60
Vision for the soul, rhythm for the bones..all in sync for a bigger beat..β™₯β™₯β™₯ #zackwillmadeit #champagnedon #kenyafinest #gainwithwicked_nation
363 5