#KizamaniKisasa, Magwiji wanapokutana Nguli. . Sauti ya umahiri ya @herimuziki (nguli) imekutana na mashairi konki ya @mwanafa na sauti adhimu ya @mr_paul_tz kwenye wimbo unaitwa #Waambie. Utaambiwa leo kwenye #XXL ya #RedioYaWatu: fikisha habari jirani na ng'ambo kwamba hii si ya kukosa. ”
654 21
@Regranned from @cloudsfmtz - #KizamaniKisasa, Magwiji wanapokutana Nguli. . . Sauti ya umahiri ya @herimuziki (nguli) imekutana na mashairi konki ya @mwanafa na sauti adhimu ya @mr_paul_tz kwenye wimbo unaitwa #Waambie. Utaambiwa leo kwenye #XXL ya #RedioYaWatu: fikisha habari jirani na ng'ambo kwamba hii si ya kukosa. - #regrann
28 0
#KizamaniKisasa, Magwiji wanapokutana Nguli. . . Sauti ya umahiri ya @herimuziki (nguli) imekutana na mashairi konki ya @mwanafa na sauti adhimu ya @mr_paul_tz kwenye wimbo unaitwa #Waambie. Utaambiwa leo kwenye #XXL ya #RedioYaWatu: fikisha habari jirani na ng'ambo kwamba hii si ya kukosa.
604 8
#KizamaniKisasa, Magwiji wanapokutana Nguli. . . Sauti ya umahiri ya @herimuziki (nguli) imekutana na mashairi konki ya @mwanafa na sauti adhimu ya @mr_paul_tz kwenye wimbo unaitwa #Waambie. Utaambiwa leo kwenye #XXL ya #RedioYaWatu: fikisha habari jirani na ng'ambo kwamba hii si ya kukosa.
2k 70
Ikufikie hii kutoka #Ikulu. #Repost from @gersonmsigwa - Mhe. Rais Magufuli amteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO. #RedioYaWatu
880 7
#Amp#Amplifayao: Upo ufafanuzi kuhusu nguo fupi na milegezo. Meli zinazopeperusha bendera ya Tanzania na kumbe sio za Tanzania na wala hazina usajili. Hizi na nyinginezo pamoja na Plylist kali itasikika ndani ya #RedioYaWatu #Amplifaya @meena_ally @millardayo
7k 85
Link kwenye bio zao @chemical_tz na @_pinktz_ kutazama kichupa chao kipya #AchaNaMimi. #RedioYaWatu. #CMG
948 9
#AlaZaRoho: #HotTopic 🎤Je ni kweli wanawake waliowazidi wanaume zao kwa vipato na elimu huwapangia wenza wao hao siku za kujamiana (kwichikwichi) ? | Karibu, ushirikiane na @divatheebawse mpaka saa 6:00 usiku. #RedioYaWatu
11k 312
Baada ya kuingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron, Yanga inaweza kudhibiti uuzaji holela wa jezi..? Na waliogushi nyaraka za mapato Mtwara wanastahili kufikishwa mahakamani..? Yote hayo na mengine mengi tukutane saa 3 kamili #SportsXtra. Cc: @alex_lwambano @shaffih @issamaeda. #RedioYaWatu
1k 7
Leo yote haya tunayo katika #Amplifaya. Ufafanuzi wa @gersonmsigwa kuhusu kauli ya Lowassa kwamba ameshawishiwa kurudi CCM. Wafungwa waliovua nguo na kubaki uchi mahakamani. #RedioYaWatu | @millardayo @meena_ally wapo tayari kukuhudumia
11k 110
#Michezo: Mamlaka ya Jiji la London imetoa kibali kufanyika kwa Utanuzi wa uwanja wa Stamford Bridge licha ya kuwepo kwa pingamizi la wakazi wa darajani kuwa ujenzi wa uwanja huo utazuia mwanga wa Jua kufika katika nyumba zao. Mamlaka ya Jiji imethibitisha wakazi hao watalipwa Fidia. #RedioYaWatu. #CMG
3k 50
#ChamaLaWana (#XXL) lipo hewani. @Regranned from @kenedytheremedy - Pon 'daboekseli' XXL @cloudsfmtz na mchizi kichizi @djzeroxxl 🔥🔥🔥 . #RedioYaWatu | #MjengoniPatamu
4k 54
#AlaZaRoho: @divatheebawse | #RedioYaWatu. #January 15, 2018, Karibu ushiriki nasi. #IshiNaMimi
9k 235
Baada ya michezo ya Ligi mbalimbali wikiendi pata review ya matukio yaliyojiri ikiwepo kipigo cha #ManCity bila kusahau taarifa za usajili wa Sanchez. Yote haya ndani ya #SportsXtra ya #CloudsFM. Cc: @alex_lwambano @mkazuzu.tza @shaffih @edgarkibwana | #RedioYaWatu
1k 9
#WatuWakoWaNGUVU: @millardayo na @meena_ally wanakungoja #Amplifayani saa 1-3 usiku. #RedioYaWatu. Mambo ni hivi........
12k 151
#Repost from @mamybabytz - 🔛 Air 🔺 #CloudsFmTop20 🎙🎧 @cloudsfmtz. #RedioYaWatu
4k 64
@Regrann from @amrithebusiness - @Regranned from @cloudsfmtz - Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
139 5
@Regranned from @cloudsfmtz - Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
84 2
Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
2k 35
Kibaridiiiiiiii hiki na #AlaZaRoho (☺) #MamboNiMoto, karibu #RedioYaWatu @divatheebawse yupo ndani ya Mjengo. Baadae kidogo ataungana na @amber___lulu na @eduboytz. #Tunein #CloudsFM #Morogoro 88.7 #Mhz#Mhz#Mhz#Mhz#Mhz, #Tanga 96.1 #Mhz, #Ngara 107.8 #Mhz, #Manyara 107.3 #Mhz, #Masasi 88.5 #Mhz.
9k 198
@Regrann from @cloudsfmtz - Mpate LIVE @goodluckgozbert kwenye #XXL leo. Tunaudondosha upako #Mjengoni mpaka kitaaani @kenedytheremedy @adamchomvu @mamybabytz. #RedioYaWatu | #MaxBurudani - #regrann
1k 27
#Repost @cloudsfmtz (@get_repost) ・・・ Mpate LIVE @goodluckgozbert kwenye #XXL leo. Tunaudondosha upako #Mjengoni mpaka kitaaani @kenedytheremedy @adamchomvu @mamybabytz. #RedioYaWatu | #MaxBurudani
7 0
Mpate LIVE @goodluckgozbert kwenye #XXL leo. Tunaudondosha upako #Mjengoni mpaka kitaaani @kenedytheremedy @adamchomvu @mamybabytz. #RedioYaWatu | #MaxBurudani
6k 113
#AlaZaRoho @divatheebawse #Onair #RedioYaWatu | Karibu ushiriki hapa mpaka saa 6 usiku.
11k 342
Uelekeo ni #RedioYaWatu: @_pinktz_ FT @chemical_tz watakuwepo kwenye #XXL kutambulisha dude lao jipya 👉 #AchanaNaMimi. Cc: @kenedytheremedy @mamybabytz @adamchomvu. #January2018 🎤📷🎶🎧
5k 99
Wakati Mnyama (Simba) akiondolewa nje kwenye michuano ya Mapinduzi. Huko Spain - Philippe Coutinho agusa nyasi za Camp Nou kama mchezaji wa Barcelona kwa mara ya kwanza leo. Kwa haya mengineyo usikose #SportsXtra saa 3:00 usiku (#RedioYaWatu ) na #SportsBar saa 4:00 usiku (@cloudstv ) maoni yako tunayangojea hapa.
1k 32
(#Slide) Hapo juu kuona picha mbalimbali za Bonanza la siku ya Mkulima wa Nachingwea 2018 lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Rukia Muwango (@rukiamuwango_) na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi ambaye yeye alikuwa mgeni rasmi. Nachingwea isikilize #RedioYaWatu kupitia 100.5 #Mhz. #ishinamimi🇹🇿
1k 7
Karibu #CloudsMedia #YouTube utazame interview hii ya Nyoshi ndani ya #LeoTena. Cc: @dahuuofficial @geahhabib @josemarah. #RedioYaWatu
2k 16
#MjengoniPatamu: Karibu Jahazini tuketi na tupige mastori na @captaintanzania x @ephraimkibonde (#WazeeWaBiaaaaa) mdogo mdogo mpaka saa 1:00 jioni. Cc: @georgebantu. #RedioYaWatu | 88.1 #Mhz #Mwanza x #Arusha.
4k 45
#Upendo Ni Sehemu ya Maisha #Mjengoni. Time hii @DjSinyorita amesimama kwenye 1&2... @KenedyTheRemedy & @Mamybabytz wapo nyuma ya kipaza. #BurudaniMwanzoMwisho |#XXL #RedioYaWatu
7k 43
Na @divatheebawse ndani ya #AlaZaRoho leo saa 4-6 usiku . #RedioYaWatu. #CMG
1k 57
#Picha / #Video: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme (@tinamndeme18) akagua ujenzi wa Daraja la Ruhuhu Wilayani Nyasa, ampa Mkandarasi miezi 6 kumaliza ujenzi wa daraja hilo. Ruvuma ipate #RedioYaWatu kupitia 105.8 #Mhz. #Tanzania
1k 8
40 0
#Repost @cloudsfmtz (@get_repost) ・・・ Leo ndani ya kubwa kuliko na @kenedytheremedy @mamybabytz #RedioYaWatu. #Mipaka | @johmakinitz. #Karibu2018
2k 20
43 0
715 4
56 1
#JAHAZI Liko Hewani Muda Huu @cloudsfmtz Hadi Saa Moja Jioni. Cc; @abdi_chembea @georgebantu @dacotadelavida #RedioYaWatu
72 1
Karibu uungane na familia ya #CloudsMediaGroup katika kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa @auntsadaka. . Mungu akupe maisha marefu maana kwetu wewe ni kisima cha maarifa/hekima. . #HappyBirthdayAuntSadaka | #RedioYaWatu
4k 55
Heri ya kumbukumbu ya siku zenu za kuzaliwa wanafamilia wa Clouds, @noelngambusu_pharao na #JoyceWaNdakidemiShop (@joyceasagwile ) #CloudsMediaGroup inawatakia mafanikio katika maisha yenu. #Shukrani2017. #RedioYaWatu
56 2
@Regrann from @cloudsfmtz - Uongozi wa #CloudsMediaGroup pamoja na wafanyakazi wake wa nakutakia heri ya sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote. Tusherekee kwa AMANI huku tukikumbuka kuna maisha baaada ya Sikukuu yaaani January (mwezi dume) inakuja. #Shukrani2017 | #RedioYawatu - #regrann
27 0
Pokea #ShukraniZetu / #SalamuZaKrimasNaMwakaMpya kutoka hapa Mjengoni kwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara #CMG, Sheba Kusaga. #RedioYaWatu | #Shukrani2017. #MjengoniPatamu
646 2
Heri ya kumbukumbu ya siku zenu za kuzaliwa wanafamilia wa Clouds, Noel Ngambuso (@noelngambusu_pharao) , Jocye Ndakidemi (@joyceasagwile ) na Matata kutoka Strategis Insurance, #CloudsMediaGroup inawatakia mafanikio katika maisha yenu. #Shukrani2017. #RedioYaWatu
2k 23
#Shukrani2017: Salamu za #KrimasNaMwakaMpya kutoka Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (@mrisho_gambo) . #Arusha 88.1 #Mhz #Tumekusoma. #RedioYaWatu
1k 14
Salamu za #KrimasNaMwakaMpya kutoka kwa #MalkiaWaNguvu, Mama Samia Suluhu Hassan(@samiasuluhu), Makamu wa Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #Shukrani2017. #RedioYaWatu
2k 20
Salamu za #KrimasNaMwakaMpya kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu. Cc: @gersonmsigwa. #Shukrani2017 | #RedioYawatu
1k 13
Uongozi wa #CloudsMediaGroup pamoja na wafanyakazi wake wa nakutakia heri ya sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote. Tusherekee kwa AMANI huku tukikumbuka kuna maisha baaada ya Sikukuu yaaani January (mwezi dume) inakuja. #Shukrani2017 | #RedioYawatu
2k 23
Pokea salam za msimu wa Sikukuu toka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh: Freeman Mbowe. #Shukrani2017. #RedioYawatu
6k 87
Salamu za #KrimasNaMwakaMpya kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) . #Shukrani2017. #RedioYawatu
8k 248
RepostBy @cloudsfmtz: "Oyooooooooooo (#Waleteeee ) Mabingwa wa #SportsXtraNdondoCup2017 #Mbeya, timu ya #IteziUnited wakiwa na kombe lao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson (@tulia.ackson) . #Shukrani2017 | #GreenCity #RedioYawatu"
3k 15
Oyooooooooooo (#Waleteeee ) Mabingwa wa #SportsXtraNdondoCup2017 #Mbeya, timu ya #IteziUnited wakiwa na kombe lao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson (@tulia.ackson) . #Shukrani2017 | #GreenCity #RedioYawatu
2k 14
#Mapokezi: Ya #MgeniRasmi Fainali ya #SportsXtraNdondoCup2017 #Mbeya #TerminalFC vs #IteziUnited, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (@tulia.ackson ) ameshawasili kwa ajili ya fainali inayofanyika ndani ya uwanja wa OTTU. #RedioYawatu | #Shukrani2017
2k 11