Slide hapo juu kuona matukio/picha katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar. #Mapinduzi54. #IshiNaMimi | Picha na Ikulu
5k 11
Kwa Waasisi: Tunashukuru kwa Mapinduzi ya 1964 yaliyopelekea kukombolewa kwa #Zanzibar kutoka katika mikono ya kidhalimu. Kwa Watanzania wote: Tuienzi historia tukufu ya Mapinduzi ya kisiasa huku tukiendelea kuchapa kazi kwa ajili ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi. #TatuMzuka inaungana na Watanzania wote katika mapinduzi hayo, tutaendelea kuwaleta Watanzania pamoja kama burudani na fursa ya kubadili maisha kiuchumi. #UkishindaTanzaniaInashinda: #Mapinduzi54
196 10
Baada ya kusema ukifungwa hapa unalia....... @official_hassan_kessy_25 akawaliza watu, kama vile alinisikia.... #Mapinduzi54
99 4