Ungana na Timu ya Taifa #Clo#Clouds360 Leo asubuhi kuanzia saa 1-4 asubuhi tunasomana kwenye kipindi cha #Clouds360 ya @cloudstv #IshiNaMimi
18 0
Kesho asubuhi kuanzia saa 1-4 asubuhi tunasomana kwenye kipindi cha #Clouds360 ya @cloudstv #IshiNaMimi
133 2
#KutokaIKULU: Rais Dkt John Pombe Magufuli akutana na Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo na Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako. Rais Magufuli amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na sekondari. Zaidi endelea kufuatilia #Clouds. #IshiNaMimi | #January 17, 2018.
3k 86
@Regrann from @choicefm_tz - Kila kukicha wasanii wanakuja na mambo mapya, leo kwenye #MjiWaBurudani atasikika mkali kutoka maandishi matatu TMK @chegechigunda akitupa plan zake za mwaka 2018 na wasanii ambao amefanyanao collabo, je wewe unahisi msanii gani atakosa kwenye mdundo wa #KonkiMaster .....? Cc. @thisistei @fezakessy @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom - #regrann
59 0
Kila kukicha wasanii wanakuja na mambo mapya, leo kwenye #MjiWaBurudani atasikika mkali kutoka maandishi matatu TMK @chegechigunda akitupa plan zake za mwaka 2018 na wasanii ambao amefanyanao collabo, je wewe unahisi msanii gani atakosa kwenye mdundo wa #KonkiMaster .....? Cc. @thisistei @fezakessy @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom
835 111
Mwanaume aliyemuua mke wake, mtoto chini ya mwaka mmoja na shemeji yake (mke wa marehemu mkewe) amekamatwa. Sababu ya mauaji ni vile anadai mtoto (marehemu) alizaliwa nje ya ndoa. Juzi rafiki yangu Yona Maro nae kajiua baada kudai mke wake anatoka nje ya ndoa. Ukigundua mtoto sio wako na mke wako anatoka nje ya ndoa Mwanaume afanye nini? Picha kwa hisani ya @dalidalirashid #ishinamimi #mycaseisdifferent
1k 65
Haya Haya hayaaa mambo ni moto @cloudsfmtz @cloudstv @choicefm_tz Anakuja kukalia kwenye kiti cha Timu ya Taifa Clouds360 na watu wetu wanguvu @samsasali @hassan_ngoma na Mama mwenye kitambaa chake ( TEAM CAPTAIN ) @babbiekabae Njoo uungane na TIMU YA USHINDI. #clouds360 #Ish#IshiNaMimi #IshiNaMimi
18 0
25 0
173 3
#AlaZaRoho: @divatheebawse | #RedioYaWatu. #January 15, 2018, Karibu ushiriki nasi. #IshiNaMimi
9k 235
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini  kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) . Zaidi fuatilia #CloudsMediaGroup. #IshiNaMIMI
4k 49
From @cho@choicefm_tz "Kwenye kila jambo unalolifanya haijawahi kutokea kila mtu akakusapoti." @ireneuwoya8 huyu hapa kwenye #MjiWaBurudani ya 102.5 @choicefm_tz akifunguka yake. Cc. @thisistei @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom
25 0
@Regrann from @choicefm_tz - "Kwenye kila jambo unalolifanya haijawahi kutokea kila mtu akakusapoti." @ireneuwoya8 huyu hapa kwenye #MjiWaBurudani akifunguka yake. Cc. @thisistei @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom - #regrann
150 0
@Regrann from @choicefm_tz - "Kwenye kila jambo unalolifanya haijawahi kutokea kila mtu akakusapoti." @ireneuwoya8 huyu hapa kwenye #MjiWaBurudani akifunguka yake. Cc. @thisistei @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom
32 16
"Kwenye kila jambo unalolifanya haijawahi kutokea kila mtu akakusapoti." @ireneuwoya8 huyu hapa kwenye #MjiWaBurudani akifunguka yake. Cc. @thisistei @idrissultan #IshiNaMimi #Freedom
714 72
Kwenye #Clouds360 ya @cloudstv yupo live Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji akiongea na wewe Mtanzania. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma #IshiNaMimi #Freedom
19 0
Kwenye #Clouds360 ya @cloudstv yupo live Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji akiongea na wewe Mtanzania. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma #IshiNaMimi #Freedom
180 8
From @choicefm_tz Leo kwenye #ChoiceInTheMorning utapa kusikia stori zilizotokea kwenye harusi ya @shilolekiuno_badgirlshishi na @official_uchebe zaidi tune 102.5 #ChoiceFm #JohnJacksonTz @moj360 na @kotinyotz watakusanua. #IshiNaMimi #Freedom
29 0
@Regrann from @choicefm_tz - Leo kwenye #ChoiceInTheMorning utapa kusikia stori zilizotokea kwenye harusi ya @shilolekiuno_badgirlshishi na @official_uchebe zaidi tune 102.5 #ChoiceFm #JohnJacksonTz @moj360 na @kotinyotz watakusanua. #IshiNaMimi #Freedom - #regrann
255 0
Leo kwenye #ChoiceInTheMorning utapa kusikia stori zilizotokea kwenye harusi ya @shilolekiuno_badgirlshishi na @official_uchebe zaidi tune 102.5 #ChoiceFm #JohnJacksonTz @moj360 na @kotinyotz watakusanua. #IshiNaMimi #Freedom
755 63
#Repost @gersonmsigwa (@get_repost) ・・・ Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame awasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Apokelewa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na Mwenyeji wake Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Baada ya mapokezi viongozi hao wamekwenda Ikulu ambako wamefanya mazungumzo. #IshiNaMimi
51 1
#Repost from @drisaacmaro - OPRAH WINFREY aliwahi sema, “Uthubutu mkubwa kabisa unaoweza kuujaribu ni kujaribu kuishi maisha ya ndoto zako”. Swali ni .. Je, unafikiri hayo maneno yana ukweli wowote? Ukitaka kujua jibu letu jiunge nasi Njiapandani leo hii maana tutafanya jaribio la kuyaishi maneno hayo. Usikose.. ——————————————— OPRAH WINFREY once said and I quote, “The biggest adventure you can take is to live the life of your dreams”. Question is... Do you think those words are true? If you want to know our answer join us as at Crossroads of @cloudsfmtz from 1400 hrs as we will be trying to live those words! #njiapanda #IshiNaMimi Cc @amanisiry_sanchez @douglaspius.dp @daudiwakota
5k 68
OPRAH WINFREY aliwahi sema, “Uthubutu mkubwa kabisa unaoweza kuujaribu ni kujaribu kuishi maisha ya ndoto zako”. Swali ni .. Je, unafikiri hayo maneno yana ukweli wowote? Ukitaka kujua jibu letu jiunge nasi Njiapandani leo hii maana tutafanya jaribio la kuyaishi maneno hayo. Usikose.. ——————————————— OPRAH WINFREY once said and I quote, “The biggest adventure you can take is to live the life of your dreams”. Question is... Do you think those words are true? If you want to know our answer join us as at Crossroads of @cloudsfmtz from 1400 hrs as we will be trying to live those words! #njiapanda #IshiNaMimi Cc @amanisiry_sanchez @douglaspius.dp @daudiwakota 📷 @bintabaradr
3k 525
#Repost @cloudstv (@get_repost) ・・・ Kutoka #Storm ya #CloudsTv leo amezaliwa mtayarishaji na mtangazaji wa masuala ya mitindo na urembo @lilianemasuka Team CMG inamtakia maisha marefu yenye baraka na amani tele. #IshiNaMimi
189 2
Slide hapo juu kuona matukio/picha katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar. #Mapinduzi54. #IshiNaMimi | Picha na Ikulu
5k 11
#Miaka54YaMapinduziYaZanzibar Leo ni siku muhimu sana kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo wanakumbuka namna walivyoweza kupindua utawala wa Kikoloni kutoka kwa Sultan ambapo kwenye utawala huo hakukuwa na haki na usawa kwa Wazanzibar, ukweli utabaki palepale kuwa Mapinduzi ya Zanzibar yana thamani kubwa sana katika maisha ya wakazi wa Visiwani humo. #IshiNaMimi
17 0
@Regrann from @choicefm_tz - #Miaka54YaMapinduziYaZanzibar Leo ni siku muhimu sana kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo wanakumbuka namna walivyoweza kupindua utawala wa Kikoloni kutoka kwa Sultan ambapo kwenye utawala huo hakukuwa na haki na usawa kwa Wazanzibar, ukweli utabaki palepale kuwa Mapinduzi ya Zanzibar yana thamani kubwa sana katika maisha ya wakazi wa Visiwani humo. #IshiNaMimi - #regrann
53 0
@Regrann from @choicefm_tz - #Miaka54YaMapinduziYaZanzibar Leo ni siku muhimu sana kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo wanakumbuka namna walivyoweza kupindua utawala wa Kikoloni kutoka kwa Sultan ambapo kwenye utawala huo hakukuwa na haki na usawa kwa Wazanzibar, ukweli utabaki palepale kuwa Mapinduzi ya Zanzibar yana thamani kubwa sana katika maisha ya wakazi wa Visiwani humo. #IshiNaMimi
19 0
#Matukio: Jana tarehe 11 /1/2018, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Bi. Rukia Muwango (@rukiamuwango_) alikabidhi fedha kiasi cha TSh 86,000,000 kwa vikundi vya akina mama, vijana na walemavu, zilizotolewa na Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea ikiwa ni 10% ya mapato yake ya ndani kwa kipindi cha nusu mwaka yaani Julai 2017 - Desemba 2017. Huu ni utekelezaji wa sera ya uwekezaji wa kiuchumi kwa wananchi. Nimewasimamia Halmashauri na wametekeleza kwa 100% .- alisema Dc Rukia. Wakati huo huo Dc @rukiamuwango_ amewakumbusha wajasiliamali Haki zao na wajibu. Nidhamu ya kufanya jambo lililokusudiwa bila kubadili matumizi ya fedha hizo. Kufanya kazi kwa bidii, weledi na ubunifu. Kurejesha fedha za mkopo kwa wakati na kutunza kumbukumbu. #IshiNaMimi
1k 8
#Miaka54YaMapinduziYaZanzibar Leo ni siku muhimu sana kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo wanakumbuka namna walivyoweza kupindua utawala wa Kikoloni kutoka kwa Sultan ambapo kwenye utawala huo hakukuwa na haki na usawa kwa Wazanzibar, ukweli utabaki palepale kuwa Mapinduzi ya Zanzibar yana thamani kubwa sana katika maisha ya wakazi wa Visiwani humo. #IshiNaMimi
211 13
#KutokaIKULU: Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, wakiwa na vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 11, 2018. #IshiNaMimi. Cc: @captaintanzania @georgebantu @ephraimkibonde
2k 11
Mshambuliaji wa Mbao FC ya Mwanza, Habibu Kiyombo amechaguliwa Mchezaji Bora wa mwezi Disemba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2017/2018. --------- Kiyombo ameibuka mchezaji bora baada ya kuwashinda wachezaji wenzake wawili alioingia nao fainali kutokana na tathmini iliyofanywa na kikao cha Kamati ya Tuzo wiki hii. #IshiNaMimi
88 1
Leo ni nusu fainali ya #MapinduziCup kati ya #YangaSc Vs #URAFc kwa utabiri wako timu gani itapata nafasi ya kutinga fainali, kiputwe kinapigwa uwanja wa #AmanZanzibar #IshiNaMimi #Freedom
141 4
(Kapicha katamu ila naachana nacho) leo #MamaWaDawaYao @sakinalyoka_ kutoka #Mjengoni anafurahia kumbukizi ya kuzaliwa kwake, happy birthday chotara, sis wangu Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka teleeeeee ili sisi wadogo zako tuendelee kutamba mjini. #GodBlessYou #IshiNaMimi
83 3
Kutoka Makao Makuu ya lishe ya burudani Tanzania #CloudsMediaGroup tunashea furaha na #MamaWaDawaYao @sakinalyoka_ (wa kipindi cha #Ng'aring'ari ya @cloudstv ) kwa kumbukizi ya kuzaliwa kwake.....Mungu azidi kukusimamia na kukupa afya. #IshiNaMimi #Freedom
239 5
Moto mkubwa uliowaka jana usiku eneo la Buguruni-Mnyamani, leo Mkuu wa Wilaya #Ilala @sop@sophia_mjema ametembelea na kutoa msaada. --------- #Repost @sophia_mjema (@get_repost) ・・・ Tumetoa msaada wa chakula cha siku tatu kwa familia ya mzee Simba wakati taratibu nyingine zikiendelea. #IshiNaMimi
73 1
19 0
Waziri Mkuu mstaafu Edward #Lowassa huyu hapa. Anaeleza furaha yake baada ya kuonana na Rais Dkt #Magufuli. Amemsifu na kusema anahitaji kutiwa moyo katika kazi zake. #IshiNaMimi #Tanzania
30 0
1k 50
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mh. Lowasaa anaeleza furaha yake baada ya kuonana na Rais Dkt #Magufuli. Amemsifu na kusema anahitaji kutiwa moyo katika kazi zake #IshiNaMimi.
1k 46
(Video) Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametembelewa Ikulu na Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa. -------- Mh. Lowassa ampongeza rais kwa kazi nzuri anayofanya. #IshiNaMimi
79 4
Waziri Mkuu mstaafu Edward #Lowassa huyu hapa. Anaeleza furaha yake baada ya kuonana na Rais Dkt #Magufuli. Amemsifu na kusema anahitaji kutiwa moyo katika kazi zake. #IshiNaMimi #Tanzania
1k 40
#Clouds360 ya #CloudsTv ipo tayari kukupa habari na mastori ya town kutoka kwa @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali let's go together hadi saa 4 kamili asubuhi. #IshiNaMimi
2k 35
@Regrann from @choicefm_tz - #MtaaWaPili- Mengi tumeyaona kupitia instagram ya @wastara84 lakini majibu yote tutayapata leo kuhusu hali yake kiafya, kudhulumiwa fedha zake na namna Watanzania wanavyoweza kumsaidia kupata matibabu yake India....tune 102. 5 #ChoiceFm @tslasht akusanue na mastori. #IshiNaMimi #Freedom
12 1
#MtaaWaPili- Mengi tumeyaona kupitia instagram ya @wastara84 lakini majibu yote tutayapata leo kuhusu hali yake kiafya, kudhulumiwa fedha zake na namna Watanzania wanavyoweza kumsaidia kupata matibabu yake India....tune 102. 5 #ChoiceFm @tslasht akusanue na mastori. #IshiNaMimi #Freedom
621 60
#Repost @cloudstv (@get_repost) Happy Birthday Dr @mwigulunchemba. Tunakuombea Baraka tele katika kuitumikia nchi yetu. #IshiNaMimi
129 4
Kwenye ukurasa wa mchezaji wa Kimataifa (Mtanzania) @sam@samagoal77 ameandika haya; #Repost @samagoal77 (@get_repost) Nna furaha,kuanza mazoez ya uwanjan baada ya kuwa nje kwa takribani miez miwili kutokana na maumivu ya goti 👍 Pole sana shujaa na kila la heri. #IshiNaMimi
211 2
Wamependesaaaa/ hawajapendesaaaa? . (Kwa lafudhi ya kimasai) . #ProudlyTanzanian #IshiNaMimi
6k 52