Hiki ndicho kinatajwa kusababisha Diva na Heri Muziki kuzinguana. #SocialBuzz S/O @johnjakson_tz. Karibu channel #CloudsMedia (YouTube) tumekusogezea mzigo wote huu. #CMG
121 4
@samwaukwel_ azungumzia vitu alivyo miss wakati alipokuwa kimya kwenye game. Cc: @johnjakson_tz. Karibu channel #CloudsMedia (YouTube) tumekusogezea mzigo wote. #CMG
598 7
Link kwenye bio yetu hapo juu kutazama full interview ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akifanunua mambo mbalimbali yakiwemo uvumi wa kukamatwa kwa watu wanaonyoa viduku na kuvaa mavazi ya aina fulani. Karibu channel #CloudsMedia (YouTube) tumekusogezea mzigo wote. #CMG
63 2
Link kwenye bio yetu hapo juu kutazama full interview ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa akifanunua mambo mbalimbali yakiwemo uvumi wa kukamatwa kwa watu wanaonyoa viduku na kuvaa mavazi ya aina fulani, mapema leo kwenye #Clouds360. Karibu channel #CloudsMedia (YouTube) tumekusogezea mzigo wote. #CMG
1k 9
#SocialBuzz #January 17, 2018. Haya ndio maamuzi ya msanii Enock Bella kama ingetokea viduku vingepigwa marufuku.; Na #FaizaAlly hana mpango wa kufunga ndoa na baba mtoto wake... #CMG - More info tembelea channel yetu ya #YouTube #CloudsMedia
1k 13
6 0
Sikiliza Clouds Fm 88.5 Dsm, kesho 7:00am Asubuhi Jumapili 14.01.2018 Kutakua na interview/mahojiano na Harris kapiga na msanii wetu Madame fridah akitambulisha video yake kwa mara ya kwanza. #harriskapiga #cloudsmedia #newdealproduction @fridamadame2017 #jaycrimino
37 2
@Regrann from @amrithebusiness - @Regranned from @cloudsfmtz - Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
141 5
@Regranned from @cloudsfmtz - Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
86 2
"Baada ya Sina Raha na Kwetu Wapo nilipata management nyingine ndio iliyonifanya nikae kimya, lakini kwa sasa hivi asilimia kubwa najisimamia mwenyewe ila nina 'meneja' anayehakikisha nafika mjini na kazi zangu zinafika kwa wakati kwenye media" #SamWaUkweli #Live #Leo#LeoTena. Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena
3k 28
Link kwenye bio yetu au ingia YouTube channel ya #CloudsMedia kutazama interview yote ya @samwaukwli (Msanii wa Bongo Flava) akiwa ndani ya #LeoTena. Cc: @josemarah @dahuuofficial @geahhabib. #RedioYaWatu
2k 35
#TeamAlaZaRoho #CloudsMedia @cloudsfmtz @divatheebawse @divatheebawse__update @daudiwakota Show Tamu Kuliko Zote Usiku 馃槝馃槝馃槝馃槝
22 0
Kama hujajua ngoja nikujuze. Siku kadhaa nyuma kabla ya mwaka mpya 2018 kuingia, msanii wa kike #Rub#Rub#Rub#Ruby anaesifika kuwa na kipaji kikubwa cha uimbaji (fundi) aliongozana yeye pamoja na wazazi wake kuelekea kwenye vituo vya #cloudsmedia kwenda kumuomba #Rug#Ruge msamaha 馃檶 #Ruby pamoja na wazazi wake walifanikiwa kukutana na #Ruge nakufanikisha kilichowapeleka na mwisho wa siku bila iyana Mkurugenzi uyo wa kituo cha #Cloudsmedia akatoa msamaha kwa msanii huyo nakuahidi kumrudisha tena kwenye game kwakuanza tu na Ngoma za msanii uyo kupigwa tena kwa mara nyingine kwenye Vituo ivyo vya Clouds Media 馃檶 swali kwa #wambea ni Je kati ya #Ruby na #nandy nani MKALI?馃憞 Je kama #Nandy ndo alitengenezwa ili kucover nafasi ya #Ruby je itakuwaje sasa na mwenye kiti chake kasharudi! 馃槀 Majibu ya maswali yote utayapata hapa hapa @umbeatz_ #jewajua
1k 57
Karibu #CloudsMedia #YouTube utazame interview hii ya Nyoshi ndani ya #LeoTena. Cc: @dahuuofficial @geahhabib @josemarah. #RedioYaWatu
2k 16
All Universities, All Students #300#3000+h in one program. Respect For Diversity is happy to Launch it's first Bigger and Bold Event in 2018 - Youth Event on Leadership and Entrepreneurship - (Y.E.L.E-18) We invites all students from all major Universities and Higher Learning Institutions in Zanzibar to participate. Meet your local successful ventures owners with insightful lessons about life, businesses and leadership. Let them take you to their journey while embracing yours. #beinspired #mindsets #gamechanger #success #2018goals #youth #3000+ #all #10X #big #bold #coconutfm #cloudsmedia #millardayo #belindafashion #fahudenterprises ##zan#zanzibar #zanzibar #tan#tanzania #tanzania
17 1
Ukiona Sina Thamani Bas Kuna Watu Wanaiona Thamani Yangu 馃槀馃槀 Thanks TigoTanzania Na Clouds Media..Sio Rahis Kuipata Hii Card Lazima Uwe Na Nguvu !! Me Ntakua Tigo Office Makumbusho Siku Ya Tarehe 31 !! #TigoTanzania #CloudsMedia
370 18
Merry Christmas from the Clouds Media team! 馃巺馃巵馃巹 #CloudsMedia #MerryChristmas #December2017 #Christmas2017 #Hap#HappyHolidays #Happy
14 5
Asante sana kakaangu @Regranned from @mkubwafellatmk - Happy birthday dada yangu kutoka pale mjengon mwanangu wa faida #cloudsmedia @barbarahassan1 inshaallah MUNGU akupe afya njema dada yake mie - #regrann
633 16
Happy birthday dada yangu kutoka pale mjengon mwanangu wa faida #cloudsmedia @barbarahassan1 inshaallah MUNGU akupe afya njema dada yake mie
1k 14
Ulimiss kwenda Escape 1 Jumamosi iliyopita? Usijali, tupo kwa ajili yako. Tazama full performance ya @vanessamdee kwenye XXL After Skul Bash kupitia Youtube account ya #CloudsMedia - link kwenye bio!!
1k 9
Ulimiss kwenda Escape 1 Jumamosi iliyopita? Usijali, tupo kwa ajili yako. Tazama full performance ya @vanessamdee kwenye XXL After Skul Bash kupitia Youtube account ya #CloudsMedia - Link Ipo Kwenye Bio Ya @cloudsfmtz
21 0
Ulimiss kwenda Escape 1 Jumamosi iliyopita? Usijali, tupo kwa ajili yako. Tazama full performance ya @vanessamdee kwenye XXL After Skul Bash kupitia Youtube account ya #CloudsMedia - link kwenye bio!!
2k 18
TIME YOUR TIME BEFORE TIME TIMES YOU. #KataaKuwaKaa #KageraFursaSummit #CloudsMedia
90 0
FASHION][