Ijumaa ni fire kwenye #Clouds360 ya @cloudstv fungulia tambala lako twende pamoja hadi saa 4 kamili. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali #Freedom
169 6
Link kwenye bio yetu hapo juu kutazama full interview ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa akifanunua mambo mbalimbali yakiwemo uvumi wa kukamatwa kwa watu wanaonyoa viduku na kuvaa mavazi ya aina fulani, mapema leo kwenye #Clouds360. Karibu channel #CloudsMedia (YouTube) tumekusogezea mzigo wote. #CMG
1k 9
Kamanda aa Polisi kanda maalum ya Dsm #LazaroMambosasa live on #Clouds360 akitupa vitu vyetu tulivyosikia eti tusinyoe kiduku....lol Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma #PichaByMe
60 0
#NyoeniViduku. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amekanusha habari iliyoandikwa jana katika gazeti la #Nipashe kuhusu kukamatwa kwa watu wanaonyoa viduku na kuvaa mavazi ya aina fulani. Akizungumza na @babbiekabae na @hassan_ngoma kupitia #Clouds360, Kamanda Mambosasa amesema hakuna sheria inayotoa mamlaka kwa jeshi la Polisi kukamata watu kuhusu mavazi. .
3k 37
Ungana na Timu ya Taifa #Clo#Clouds360 Leo asubuhi kuanzia saa 1-4 asubuhi tunasomana kwenye kipindi cha #Clouds360 ya @cloudstv #IshiNaMimi
23 0
Kesho on #clouds360 ya @cloudstv
46 1
Kesho asubuhi kuanzia saa 1-4 asubuhi tunasomana kwenye kipindi cha #Clouds360 ya @cloudstv #IshiNaMimi
136 2
47 1
Kesho Kwenye #clouds360 Kamanda Mambosasa atakuwa LIVE @cloudstv @babbiekabae @samsasali @dottobahemu @gipson_george
73 1
I know you know kila asubuhi madini yote unayapata #Clouds360 ya @cloudstv Cc. @babbiekabae @samsasali #PichaByMe
45 0
@samsasali @babbiekabae wapo tayari kukupa madini/maarifa kwenye #Clouds360 ya @cloudstv #Freedom
224 7
Haya Haya hayaaa mambo ni moto @cloudsfmtz @cloudstv @choicefm_tz Anakuja kukalia kwenye kiti cha Timu ya Taifa Clouds360 na watu wetu wanguvu @samsasali @hassan_ngoma na Mama mwenye kitambaa chake ( TEAM CAPTAIN ) @babbiekabae Njoo uungane na TIMU YA USHINDI. #clouds360 #Ish#IshiNaMimi #IshiNaMimi
18 0
26 0
7 0
Nyambaf kama kuna mbunge wa CCM alienyoooshwa na Magu na Bashite ni msukuma jamani!! Siku hizi kimbelembele kimemuisha, hata umchape hawezi kumsema Bashite tena.....Kanyoooka. Yani na yeye kawa mpiga debe kama kina Msando!!!! . . Ukiambiwa ndo Msukuma yule aliekuwa anaongea bungeni kama cherehani kumsema Bashite na mambo yake huwezi amini. Unaambiwa sasa hivi akimwona Bashite anapiga goti anamwamkia. Yani hapa mnavyomuona anahangaika kwenye maTV na maredio hiyo yote ni anaomba msamaha kwa Magu!! . . Jamani Magu Embu msamehe msukuma, anajitahidi sana kukuonyesha kuwa amekoma..... Msamehe maana siku hizi Hata kazi ya ubunge kasahau amekuwa msemaji wa Chama 🤣🤣🤣🤣 . . Yani ile mada ya miaka 7 ikifika bungeni Msukuma ndo atakuwa mbunge wa kwanza CCM kuipitisha.... Ni vile tu Bashite ndo analiwa ila angekuwa yeye ndo anakula wenzie haki Msukuma angeliwa na Bashite jinsi ambavyo anawahara siku hizi. hana mshipa tena ule wa zamani!! . . . Endeleza bidii kaka mpaka ifike 2020 nahisi Magu atakuwa keshakusamehe. Na unabahati unawalamba matako siku hizi la sivyo vimali vyako huko Mwanzo vingepukutika vyote.... . . Na anaenda hicho kipindi sababu hicho kipindi Magu hakosi kuangalia sababu ya Baby Kabai.... So anajua kesho Magu atamuona live. Nyie kesho mwangalieni msukuma hakuna point atakazo ongea zaidi ya kulamba matako ya Magu na Bashite.... . . Huyu mtu tumuombeee msamaha kwa Magu ili arudi kuwa mwanaume jamani. . . . . Repost @cloudstv with @get_repost ・・・ #Kesho: Ndani ya #Clouds360 na @babbiekabae @samsasali @hassan_ngoma
7k 139
Utamu kolea wa #Clouds360 ni kutazama kila siku (J,tatu-Ijumaa) kuanzia saa 1-4 asubuhi kupitia @cloudstv Cc. @samsasali @hassan_ngoma @babbiekabae #PichaByMe
53 0
#SioUremboNiUgonjwa Si kawaida kuona watangazaji wa #Clouds360 wamevaa miwani wakati wa kipindi, leo ni kwa sababu @sam@samsasali anaumwa ugonjwa wa macho mekundu (#RedEyes). . . Ugonjwa wa macho mekundu (#RedEyes) unatokana na kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu iliyoko katika macho. Wataalam wanasema hiyo inaweza kusababishwa na vitu mbalimbali zikiwemo mzio, ukosefu wa vitamini na madini, vumbi au maambukizi. Unadhani @samsasali amepata wapi ugonjwa huu? Je, @babbiekabae na @hassan_ngoma watabaki salama? : Tazama pindi liko hewani.
1k 15
173 3
Repost By cloudstv: #Clouds360 imezungumza RPC Augustine Olomi wa Kagera kuhusu ajali ya gari iliyotokea jana katika eneo la Nyangozi wilayani Biharamulo RPC amesema idadi ya vifo bado ni 11, majeruhi 5 wanaendelea vizuri. Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba, tunaomba Mungu azilaze roho na marehemu mahali pema peponi na kuwaponya majeruhi
1k 22
#Clouds360 imezungumza RPC Augustine Olomi wa Kagera kuhusu ajali ya gari iliyotokea jana katika eneo la Nyangozi wilayani Biharamulo. RPC amesema idadi ya vifo bado ni 11, majeruhi 5 wanaendelea vizuri. Tunatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba, tunaomba Mungu azilaze roho na marehemu mahali pema peponi na kuwaponya majeruhi.
945 13
#Clouds360 ya @cloudstv Monday-Friday on fire Cc.@babbiekabae @hassan_ngoma walikuwa na Katibu wa CHADEMA Dkt. Vincent. #Photo by me
60 0
‘Kauli ya meya wa Ubungo ndugu Jacob kuhusu Wanachama wengine ni takataka hiyo sijaisikia labda anaweza yeye kuiongelea mwenyewe.’ - Vicent Mashinji on #Clouds360
1k 8
Changamoto kubwa ambayo mimi niliipata katika siasa ni kurudisha muamko wa Wanachama wa CHADEMA baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015 hii kwangu ilikuwa changamoto. Suala la siasa halihitaji shule hizi Taasisi za kujifunza Uongozi zipo kwa ajili ya kujifunza masuala ya mahusiano na jamii. @Vicent_mashinji Katibu Mkuu wa Chadema. #Clouds360 @babbiekabae @hassan_ngoma
1k 13
Hakuna uwezekano wowote wa mzigo kufika Bandarini na kukosa mwenyewe sababu Manifest huonyesha kama mzigo unaotoka China na Unakwenda Tanzania ni mali ya nani, Ikitokea mzigo umekosea Final Desination yake ukashuka bandari ya Dar es Salaam badala ya Beira kuna kitu kinaitwa Over landed hivyo itaandikiwa na kupelekwa uendako na ukifika utapewa hati maalum inayoitwa Over landed Certificate. #Ngatunga Raisi wa Chama cha Mawakala wa Forodha TAFFA #Clouds360 @babbiekabae @hassan_ngoma
1k 10
“Mfumo wetu ni tofauti na CCM chama kinaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Rais amevaa kofia mbili kwa Utawala bora hili haliwezekani sababu chama kinatakiwa kuongozwa na Mwenyekiti ambaye anatakiwa pia kuisimamia Serikali.” - Katibu mkuu Chadema @Vicent_mashinji on #Clouds360
1k 17
Kwenye #Clouds360 ya @cloudstv yupo live Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji akiongea na wewe Mtanzania. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma #IshiNaMimi #Freedom
19 0
“CHADEMA ni chama ambacho kina fursa na kila mtu na mwanachama yoyote anaweza kuwa Mwenyekiti lakini watu waelewe huu si wakati wake, sasa ni zamu ya Mhe @fre@freemanmbowetz ukifika wakati wa uchaguzi atakuja Mtu mwingine. : Toka miaka ya 90 Mhe. @freemanmbowetz alikuwa mwenyekiti wa Vijana watu walimuona tangu kipindi hicho lakini wanasahau bado hii kipindi cha Uongozi wake bado hajamaliza muda wake.” Katibu mkuu wa CHADEMA @Vicent_mashinji ON #Clouds360
2k 33
“Mimi nimesoma kijiji kabisa na somo nililolipenda lilikuwa ni Hesabu hata leo nikiona watu wanafanya hesabu najiunga nao, Nilisoma Mzumbe baadaye chuo cha Makerere baadaye nikaanza kazi Muhimbili kwa mafunzo (Internship). “ :@Vicent_mashinji @babbiekabae @hassan_ngoma #Clouds360
2k 16
Kwenye #Clouds360 ya @cloudstv yupo live Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji akiongea na wewe Mtanzania. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma #IshiNaMimi #Freedom
181 8
29 0
#Repost from @cloudstv - Muziki wa injili ni huduma na sio biashara, matamasha mengi tunayoenda ni kutoa huduma na sio kuburudisha na watumishi waotuita mara nyingi huwa hawatuachi hivihivi na hapo huwezi kusema injili biashara, Naiuza hii album sio sababu ya kibiashara bali zile fedha nilizotumia kutengeneza CD mpaka kukamilika ziweze kurudi na hata kiasi kikizidi nakiweka ili kiweze kupanua huduma yangu" @goodluckgozbert #Clouds360 @babbiekabae
2k 20
Muziki wa injili ni huduma na sio biashara, matamasha mengi tunayoenda ni kutoa huduma na sio kuburudisha na watumishi waotuita mara nyingi huwa hawatuachi hivihivi na hapo huwezi kusema injili biashara, Naiuza hii album sio sababu ya kibiashara bali zile fedha nilizotumia kutengeneza CD mpaka kukamilika ziweze kurudi na hata kiasi kikizidi nakiweka ili kiweze kupanua huduma yangu" @goodluckgozbert #Clouds360 @babbiekabae
3k 39
@babbiekabae @hassan_ngoma na @samsasali wapo tayari kwenye #Clouds360 tuambie hali ya hewa ipoje ulipo?
2k 40
"Hali ya siasa nchini kwasasa inavyokwenda ni dalili kwamba tunarudi kwenye demokrasia pana, Tanzania ni miongoni mwa nchi tano bora, kwa demokrasia, tunaweza kuwa na katiba mpya, lakini pasipokuwa na maamuzi ya dhati ya kusimamia katiba ile, inaweza kuwa ni maandishi" Prof. Benson Bana Mhadhiri UDSM #Clouds360 @babbiekabae @hassan_ngoma
4k 78
"Mwanaume amepewa misuli ya hekima ili kumkuza mtoto, Mwanaume anauwezo wa kumfanya mtoto akue kutokana na namna atakavyomfundisha kuliko mwanamke, Mwanaume atakachokifanya kwa mtoto wake ndivyo mtoto atakavyokuwa. ________________________________________________________________ Kuna watu wengi ambao wanajichua na hawajui namna ya kuacha na hilo ni tatizo la kisaikolojia, Mimi nafanya mafundisho ya kisaikolojia namna ya kuacha kujichua" Mch Peter Mitumingi Mwanasaikolojia #Clouds360 @babbiekabae @hassan_ngoma
2k 16
#Clouds360 ya #CloudsTv ipo tayari kukupa habari na mastori ya town kutoka kwa @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali let's go together hadi saa 4 kamili asubuhi. #IshiNaMimi
2k 35
Huyu jamaa aliyevaa t-shirt nyekundu ni nani......??? Atakayepatia nampa zawadi ya kushiriki #bigbreakfast na timu ya taifa #clouds360 .........zoezi tunalihitimisha saa 6 usiku wa leo!!! Vigezo na Masharti kuzingatiwa @babbiekabae @samsasali
1k 52
@samsasali na @hassan_ngoma wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh. Rukia Muwango (@rukia_muwango) ndani kipindi cha #Clouds360. #ThePeopleZstation. #MjengoniLeo | January 4 2018
2k 14
#Clouds360 ipo hewani kukuhabarisha na kukuanzishia asubuhi yako vizuri. Cc. @hassan_ngoma @samsasali
3k 25
Leo ni siku ya tatu ya mwaka 2018, hii ni #Clouds360 ya tatu toka mwaka 2018 umeanza, @samsasali @hassan_ngoma wapo tayari kukupa habari mpaka nne kamili asubuhi.
2k 17
#Clouds360 OnAir endelea kupata habari/madini, maarifa na mastori ya town yanayoshushwa na @hassan_ngoma na @samsasali kupitia #CloudsTv #IshiNaMimi
1k 9
"Malengo unaweza kuyapanga kwenye kitu chochote kidogo au kikubwa kama hujapanga malengo kaa chini fikiria unataka mwisho wa mwaka kufikia hatua gani, Chagua malengo kumi muhimu kisha chagua matatu ambayo ukiambiwa uchague utayafanya pia chagua moja ambalo litakuwa na umuhimu na kumbuka kila lengo linatabia zake na mwisho jiulize unawezaje kuanza" @joel_nanauka #Clouds360 @hassan_ngoma
1k 7
Mungu no wetu soote hivyo tukaze tu IPO siku #clouds360
43 1
Dedee cultural foundation next year itawaonesha hlw Moro land have get great and beautiful things more than another city or land #moroland #inchiyangu #cloudstv #clouds360 #beautifulltanzania #supportvyanyumbani@mrishompoto @hassan_ngoma
6 0
37 3
Blue Monday ya Kimagufuli way na wakishua sellfie made@adamchomvu kwa mbaaal akatuiba@Babbiekabae wa #Clouds360 #mjengonipatamu
148 4
Muda mfupi ujao kupitia #Clouds360 ya @cloudstv - Msemaji mkuu wa serikali Dkt Hassan Abbas atakuwa akizungumzia na @babbiekabae pamoja na @hassan_ngoma juu ya uzinduzi wa Kampeni ya Uzalendo na maandalizi ya sherehe za siku ya Uhuru.
1k 10
Timu ya Taifa #Clouds360 ipo mubashara kutoka katika viwanja vya Shule ya msingi Chang'ombe Dodoma. @hassan_ngoma @babbiekabae na @jamestupatupa @barbarahassan1 wapo hapa katika uzinduzi wa awamu ya Pili ya Usafi na Mazingira na kaulimbiu ni 'Usichukulie poa Nyumba ni Choo'
2k 11
Leo kwenye #Clouds360 ya @cloudstv tulikuwa live na "Belle Event Group and kuongelea event yao ambayo J,Pili hii itafanyika pande za Sea Cliff Hotel (DSM), lengo ni kuwajumuisha wajasiriamali na wadau wa urembo ili kukuza vipaji na sekta nzima ya biashara ya urembo. Timu ya #BelleEvents iliyoongozwa na Barke Max (Kiongozi wa kikundi), Alma Kikwete, Nuru Mbeyu na Khadija Rungwe (Organising committee member). tiketi zinapatikana Beauty Point-Mayfair na Amina Design-Dar free market. Cc. @babbiekabae @hassan_ngoma @samsasali #KataaKuwaKaa
1k 4
Catch us tomorrow asubuhi live at clouds 360, and saa moja usiku kwenye Amplifaya na Millard Ayo...... Clouds Media Group our main sponsor... #bea#beautyeventchinbongo #cloudsfmthepeopleschoice #clouds360 #choicefm #beautyevent #beautyfair
10 1
Catch us tomorrow asubuhi live at clouds 360, and saa moja usiku kwenye Amplifaya na Millard Ayo...... Clouds Media Group our main sponsor... #bea#beautyeventlaunchinbongo #cloudsfmthepeopleschoice #clouds360 #choicefm #beautyevent #beautyfair
17 0