Shamsaford @shamsaford
665 Posts
2.1m Followers
957 Following
mashabiki zangu wote ningependa kuwaambia kuwa sitokuwepo Instagram kwa muda wa week moja kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu..Nawapenda wote.. @wedding_doves
7k 145
Nakuhitaji Mungu muda wote wa maisha yangu lakini kipindi hiki nakuhitaji zaidi @wedding_doves
12k 101
2k 39
4k 92
Ni sawa kulia pale unapozidiwa na maumivu lakini si sawa kulia kila siku.inawezekana njia unayopitia ni Mwenyezi Mungu ameipanga ili kukupeleka sehemu sahihi anayoijua yeye..Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo.. Alhamdulilah
16k 168
MAKE UP CLASSES Tunafundisha _Bride make up _how to high light _how to fix eyelashes _how to wrap gele _ hair styling Starting January 5rd 2018 . For more infor no 0657924875, 0626105646 @nat@nataliamakeup1000 @nataliamakeup1000
2k 18
Asante Mungu kwa yote wewe ndo unayejua zaidi na si Mimi mwanadamu
3k 65
Ndivyo maisha yalivyo.Mshukuru Mungu kwa nyakati zozote unazozipitia
3k 56
available @mapenziclassicshop piga number 0628574580 kwa maelezo zaidi
2k 21
From @jen@jenniferkyaka FILAMU YA MR. KIONGOZI INAPATIKANA KWA MAWAKALA WOTE WA MAXMALIPO NCHI NZIMA KWA Tsh. 5000/= UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUFIKA KWA WAKALA NA KUMWAMBIA NATAKA MR. KIONGOZI. AU UNAWEZA KUPIGA SIMU NAMBA 0764700200 KWA MAELEKEZO ZAIDI "Heri ya Mwaka mpya" ................................. #maxmalipo #maxburudani Cc: @jenniferkyaka @Iam_badria @maxburudani
979 9
viatu vya watoto vinapatikana dukani kwetu @mapenziclassicshop piga number 0628574580
806 5
Huyu naye anajifanya shamsa ford anatapeli watu .Ni tapeli msimfollow wala asikudanganye ana biashara kuweni makini jamani. Mimi sina account yoyote zaidi ya @shamsaford na @madira_pambe
1k 17