DC NACHINGWEA @rukiamuwango_
20 Posts
762 Followers
132 Following
208 11
#Hapakazitu:  Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Rukia Muwango kuhusu nia ya Serikali ya kuhakikisha inafungua wilaya hiyo na wilaya jirani ya Liwale kwa kuwajengea barabara kwa kiwango cha lami, mkoani Lindi. #January 2018. Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
165 15
Asante Rais wetu..mjadala umefungwa, tuchape kazi sasa. #TaarifaKutokaIkulu #hapakazitu
108 8
#HapakaziTu: Baada ya mazoezi ya viungo nilitoa nasaha kwa kuwataka wakuu wa taasisi mbalimbali za Umma na binafsi kuwasimamia walio chini yao katika kutekeleza agizo hili lakini pia niliwataka wananchi watumie muda kufanya mazoezi angalau dakika 20 kila siku ili kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza yanayotokana na kutofanya mazoezi ya kutosha. #January 2018. Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
129 3
120 10
#HapakaziTu: Leo Wananachingwea wamejumuika kufanya mazoezi kwa faida yao na katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais, Mhe Samia Suluhu Hassan. #January 2018. Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
84 6
#HapakaziTu: Nimewakumbusha wajasiliamali... Haki zao na wajibu. Nidhamu ya kufanya jambo lililokusudiwa bila kubadili matumizi ya fedha hizo. Kufanya kazi kwa bidii, weledi na ubunifu... Kurejesha fedha za mkopo kwa wakati na kutunza kumbukumbu. Wataalamu wawape elimu wajasiliamali kuhusu masuala yahusuyo ujasiriamali. Wawatembelee mara kwa mara na kujua changamoto wanazo kabiliana nazo na kutoa ushauri. Waongeze kiwango cha mikopo. Waendelee kutenga maeneo kwa ajili ya wajasiliamali na kuweka huduma muhimu. Serikali imeshaandaa mazingira ya kumsaidia mjasiliamali kwa kuimarisha miundombinu ili kufikia masoko hata nje ya wilaya ya Nachingwea. | Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
106 2
#HapakaziTu: Mnamo tarehe 11 /1/2018 Nimekabidhi fedha kiasi cha TSh 86,000,000 kwa vikundi vya akina mama, vijana na walemavu, zilizotolewa na Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea ikiwa ni 10% ya mapato yake ya ndani kwa kipindi cha nusu mwaka yaani Julai 2017 - Desemba 2017. Huu ni utekelezaji wa sera ya uwekezaji wa kiuchumi kwa wananchi...!! Nimewasimamia Halmashauri na wametekeleza kwa 100%. | Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
78 1
#Hapakazitu: Wadau wa habari na matukio - Nawashukuru sana moyo wenu wa kizalendo kwa nchi yenu (#motoNiUlele) . #January 2018. Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
63 0
#Hapakazitu: Cheers kwa afya zetu...na Rc Godfrey Zambi | Usiku wa Mkulima Nachingwea. #January 2018. Karibu #Nachingwea #Lindi #Tanzania
90 0