Promise Nyota馃挮 @promisenyota_
216 Posts
34k Followers
31 Following
@ivrah_ exclusive interview on ###daladalabeat : host - # @iamjimmyj & # @djmuta kuanzia saa 7 -10 jioni #namoyo
164 8
Nina NYOTA ya upendo_ Yenye nuru ya maziwa_ Sina ndele za U congo_ Kupendwa kwa mchekea_ Mwenzako kamoyo kadunda_ Na muwasho kwa Ndani_ Usijute kunipenda_ Onyesha upendo hadharani_ #ilhpro馃槝
142 11
Khaah!!!ngoja nikatunze ata umu mana cm inaweza potea 馃槉 afu nkaanza kuitafuta kwa Torch.. @55nimaa #ilhpro馃槝
400 4
149 6
Nina nidhamu ya kumuheshim kila mtu iwe maisha ya kawaida au ya sanaa_pia sina umaarufu ambao wa kusema msanii mkubwa alietangulia awe ananihofia_swali langu linakuja.je?? msanii mkubwa alietoka na maarufu sana akiwa ananipiga vita mimi nisiye na chochote?? ananiogopa?au? hataki nifanikiwe kwa sababu kuna kitu ananufaika kwangu???
333 8
It's Saturday! Let's come together and witness @@ivrah introduce his new video on our Series of New Beat Drop session #Na moyo @your favourite spot @papichulo_seafood_bar @mgalulafundikira @mkala fundikira @brightmusictz @
101 2
@ivrah_ wape taarifa tukifika mjini tunabeba Raia wooteeeeee..... #namoyo link kwny Bio yangu
138 2
Kingine kuna wasanii wengi ambao naamini kabisa wakisema waunde chama cha umoja kumsaidia @was@wastara84 basi uwezekano wa kutibiwa haraka ttz lake inawezekana_so tusichangiane kwny masherehe na birthday kutunzana magari kama ufahari..tujali na afya za wenzetu wenye matatizo__nenda kwny page ya @wastara84 utapata maelekezo jins ya kumtumia chochote kitu uso wake urudi kwny tabasamu pia watag unaowajua wamsaidie
154 4
Kuna vitu duniani havikwepeki hususani maradhi nk. Hakuna mwanadamu anaependa kupitia wakati mgumu.mwenzako akikuambia anaumwa na anahitaji msaada wa kipesa msaidie..yani lile ttz libebe kama lako_leo ndugu yetu @was@wastara84 anahitaji msaada wa kipesa ili akatibiwe ttz linalomsumbua la mguu_ kwa watanzania naamini tupo wengi mwny uwezo nacho unaweza kumsaidia maelezo yote jins ya kumtumia ela nenda @wastara84 utakuta namba zake utamtumia
90 2
Inshallah...utapata nafuu kipenzi changu_..
166 2
Tatizo mvua ya leo inanyinyiga sana_so starehe yangu kuandika tu wimbo na kuimba馃槉.apo hamu yangu ndo imeshakwisha__馃槃#BARIDI_ CHONDE CHONDE MPENZI WANGU SIO KISA BARIDI UKATAKA KWENDA KUCHEPUKA-- TUNA NGOMA ZA KILA TUKIO....ATA LIKIJA JOTO
124 5
New Song by @osama_tmk & @podo_chaudele #kidogo tunaomba saport yenu @chambusso @aslayisihaka
138 0