Mange Kimambi @mangekimambi_
6k Posts
1.6m Followers
363 Following
‘If We Stand Together We Can Beat Them’ #TanzaniaRevolution #MuunganoDay2018
1k 93
Hizi ni akili zako fupi kama kibamia chako.... Toka lini maandamano ya nchi nzima yakawa ya siri?? 🤣 Huna akili wewe.... . . Siwezi kufungua groups za whatsapp ambazo zina expose namba za watu then niwaweke kwenye harm’s way. Sina group lolote la whatsapp. Kila kitu kuhusu maandamano kitakuwa hapa kwenye Page yangu. Sasa umeposti group onyesha message ya za Mange?? 🤣🤣Ndo ujue group halinihusu, . . Wannachi kama mtaamua kufungua. Groups kwa ajili ya maandamano pls mfungue groups zile ambazo hazionyeshi namba za simu za watu. La sivyo Mtampa Magufuli nafasi yakuwa target mmoja mmoja awafanye mfano. Yani tumieni chatrooms. Ngojeni. Nitafute chat room nzuri zinazotumia username tu ... Whatsapp haifai kwa shughuli hii ya maandamano...
3k 186
Guys, please naombeni muache hizo comments za kusema mnataka haya maandano yafanyike wiki ijayo kwenye mazishi. Mi navyoona kwenye mazishi watakaaoweza wafanye but the main event iyo hiyo siku.. Tusivurugane . . Nawaelewa logic yenu ya kwamba watu hasira zitakuwa zimekwisha tukisubiri mpaka April, ila naombeni mkumbuke point ya muhimu sana hapa. Hiii tarehe haikuchaguliwa kijinga jinga. This date was picked strategically. Hii siku ina impact yake. . . . Jamani naombeni mkumbuke mtu tunaedili nae hapa. Huyu sio JK, tunadili na one of the most evil people. He will unleash anything on us. Tunadili na mtu katili hapa. Lazima tuchukue precaution zoote kupunguza nguvu ya polisi kuumiza watu. Na njia kuu ya kufanya hivyo ni lazma maandamano yahusishe Zanzibar la sivyo tutaumuzwa...Ndio nyinyi bara mna hasira ila kumbukeni Zanzibar hawana hasira sana sana wanafurahi tunavyonyooshwa na CCM ili na sisi tuujue uchungu wa kuonewa na serikali. They are not in any hurry. Hatuwezi kuwaambiwa Zanzibar tuandamane siku ya mazishi ya Akwilina, huu msiba haujafika Znz kama huku kwetu. It’s won’t happen.. . . Hiyo siku tumeichagua sababu itatoa muda wa watu wa bara kuwamobilize watu wa Zanzibar pia. Na Zanzibar hawafanyi kitu bila Maalim Seif. Jamani haya sio mambo ya kukurupuka. Kama mnataka hayo ya haraka haraka mjue jeshi la polisi nchi nzima litakuwa kwenye hayo mazishi hakuna atakaefurukuta... Na sisi hatutaki jeshi la polisi la nchi nzima lijae sehemu moja. Tunataka wajigawe mpaka wajikute polisi wa5 kila eneo.😂 . . Let’s be smart. Kwangu mimi la maana ni kumake sure we do everything possible kuwalinda watu wasiumizwe na polisi.
3k 150
Msipoandamana siku ya Muungano. Kodi zenu zitaendelea kutumika hivi. Na tena huku mkijua kuwa huyu huyo ndio atakaeshinda uchaguzi... #TanzaniaRevolution
4k 236
Inabidi kila mtu Atoe mchango wetu. Hii idea aliyoleta mdau ni nzuri mnooo. Naomba mnaojua kutengeneza graphics. Mtengeneze. Yani kwa kifupi, tukumbushane na Tutiane mshawapa why tunaandamana Tarehe 26/04/2018. Lazima watanzania wooote waelemishwe juu ya sababu ya msingi za maandamano haya. Naomba na wazanzibary mnitumie pia.na nyie muoleze kwa graphics kwanini wanzibary mlipuke Tarehe 26/04/2018 . . Mange, I have an Idea! Tutengeneze posts za WHY WE SHOULD DO THIS and create a hashtag to go with it. So...about these posts, tuweke picha za watoto wa shule wanavopata shida au vile madarasa wanakaa njee and hashtag #WhyWeDoThis or #DoThisForThem or something to that effect....and picha za wamama wanalala chini hospital and again hashtag and picha ya Aquilina and same hashtag....picha ya Ben Sanaane, picha ya TunduLissu alivokua maututi...picha za Chato kujengwa for selfish reasons and again.
5k 183
Nimekutana na mawazo tofauti juu ya maandamano, kuna wale waoga wameniambia maandamano yangesubiri kidogo mpaka watanzania wooote wamchukie Magufuli. . . Well, ngoja niwaambie kitu, hiyo siku haitokaaa kufika. Hakuna siku kila mtanzania atamchukia Magufuli. Haitokaaa kutokea as long as yeye ndio Rais. Yani hata Magufuli awapange watanzania 200 awapige risasi na video isambae bado kuna watanzania wataendelea kumsapoti.. Na hiyo uko dunia nzima. Hakuna mtu anachukiwa na watu wooote. Hata awe shetani... . . Mugabe yule pale kama sio jeshi kuingilia mpaka leo bado kungekuwa na wazimbabwe wanaompigania aendeleee kubaki madarakani. Ni baada ya kutolewa Ikulu ndio kila mtu akajitia kafurahi. Watu ni waoga wa Marais, na wengine wanatetea ugali,na kuna wengine wamelogewa hiko chama cha CCM ingawa hakimsaidii na chochote maishani mwake, na wengine wanapenda tu kuwa upande wa watu wazito, wana feel safe kuwa upande ulioshikilia nchi, hawawezi kuunga mkono upande wetu sisi makapupu, kwa kifupi hata iweje as long as Magufuli ndio Rais kuna watu watampenda tuuu, kuna watu watampiganiiiaaaa. . . Cha maana ni kwamba tunajua kuwa 70-80% ya watanzania wanamchukia and that is enough kufanya mabadiliko. Cha maana ni kwamba tunajua asilimia hiyo hiyo ya Watanzania wameichoka CCM na wanataka mabadiliko. Hiyo inatosha kufanikisha maandamano,... As long as tusiompenda tuko wengi zaidi ya wanaomuinga mkono basi tutafanikiwa. Ila mkisema Msubiri hadi nchi nzima wamchukie, mtasanda. Kuna asilimia ya wagogo kule Dodoma wale mkisema muwasubiri mpaka waichukie CCm mtazeekea hapo. . 70-80% ya wabara hamtaki nahawampendi. Hawa watafanikisha. 90% hawamtaki yeye wala CCM. Maandamano yatafanikiwa ni nyinyi kujiamini. Na kuachana na hao 20%-30% ambao bado wanamsapoti huyo mtu.... Na mtashangaaa maandamano yakifanikiwa basi nchi nzimaaaaa itadai ilimchukia, mpaka kina Msando watasema walimchukia ila walikuwa wanaogopa... Watu wanafki sana..... Achaneni nao. Hakuna kurudi nyuma . #UnionDay #TanzaniaRevolution
5k 247
Msipoandamana siku ya Muungano haya ndio maisha mtakayoishi milele..... Nasema milele sababu hana mpango wa kuachia madaraka . . #Repost @yerickonyerere with @get_repost ・・・ POLISI KANDA MAALUMU WAMEVAMIA USIKU HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA MTAA WA UFIPA KINONDONI DAR ES SALAAM.
9k 246
11k 460
Kama waEthopia wanaonyesha kufanikiwa kwa maandamano kwanini sisi tuogope?? Tena wao WaEthiopia ndio walitakiwa waogope sababu shida wanaijua lakini bado wanataka serikali iheshimu wanachokitaka...... . . 26/04/2018 Tanzania itatikisika....... #Tanzania Revolution . . #Repost @bbcswahili with @get_repost ・・・ ETHIOPIA: Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya tahadhari siku moja baada ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo kujiuzulu. Taarifa kutoka chombo cha habari cha serikali imesema hatua hio ilikuwa ya ulazima ili kukomesha uvumi wa maandamano ya upinzani dhidi ya serikali ambao umelitikisa taifa hilo. Muda wa hali ya tahadhari haujatajwa.
6k 180
Abe ati nini? Kwahiyo wanataka kubadilisha kwamba hakupigwa risasi???? . . #Repost @mh.salomemakamba with @get_repost ・・・ Taarifa za awali za madaktar zinasema Aquillina alipigwa na kitu chenye ncha kali cha duara 😀😀😀😀😀😀😀 nimecheka kama mazuri kwakweli.(pichan ni konda wa daladala alopanda aquillina akionesha tundu la risasi.
13k 943
Naomba niongeze kuwa hata watanzania wa Diaspora tutaandamana siku hiii. Haya ni maandamano ya watanzania duniani... . . Kwa watanzania tulio marekani, I hope tutaweza kujiorganize tuwe Washington DC tuandamane nje ya ubalozi wetu ili kuonyesha support kwa ndugu zetu waliokuwa nyumbani ambayo siku hiyo watakutana uso kwa uso na askari wa Magufuli.... . . Muda una ruhusu watu kujipanga and make this big!!!! . . I hope kila mtu atakuja na idea zake ili tufanye kitu kikubwa..... . . Again msione naandika tu Maneno mepesi mepesi mkasema Mange anachukulia Issue simple hivi. Hapana hii Issue ni ngumu, na sijui hata kama itafanikiwa, najua watanzania ni waoga sana but we have to start somewhere na lazima tuambiane kuwa tunaweza. Huo uwoga ndio unaowatia vizuri viongozi wetu.... Tujenge heshima na Serikali
8k 363
Maoni yaliyotolewa na wengi kupitia Instagram comments, DM, Whatsapp, Facebook na Twitter ni kwamba siku yenye impact kufanya maandamano ya nchi nzima, bara na visiwani ni siku ya muungano Tarehe 26/04/18. na yataendelea kila siku mpaka Serikali zote mbili zitakapotimiza demand namba 1. . . Imechaguliwa tarehe hii sababu wazanzibary wanaichukia hii siku with a passion..Na pia hii siku iko symbolic!!!!! It’s a perfect day kufanya maandano ya muungano. . . Sasa bado tutumie muda uliopo ku- strategize, kupeana ushauri, kufikisha habari, kuhabarisha watu wooooote. . . Hizi ndio demands 3 za maandamano haya 1. Marais wote wawili wajiuzulu 2. Katiba mpya 3. Mabadiliko makubwa ya NEC- Tume huru . I think hizo demands 3 ziko shares na watu wa bara na visiwani... . . Tujikumbushe kuwa maandamano lazma yafanyika kwa wakati mmoja. Ni maandamano ambayo hayatokwisha mpaka . Mimi simchoei mtu aandamane, wala simlazimishi mtu aandamane, nachofanya nikuwaonyesha kuwa mnaweza kubadilisha siasa za nchi yenu. . . By the way msidhani nachukulia hii Issue simple tu, I know this won’t be easy to pull off. All I know is we have to try!!!! . . I hope wanasiasa wa vyama vyote, viongozi wa dini, NGO’s, na ubalozi mbalimbali, nchi mbalimabli, makampuni yatatoa sapoti kwa wanachi kwenye jambo hili. Ukweli ni kwamba wooote tunajua kama lisipofanyika hili huyu jamaaa atatuuwaaaaaaaa!!! We have to do something. Now!!!! . . Haya wale mataahira wa kuniuliza kama na mimi ntakuwepo kwenye maandamano ni block tu! Wewe unapigania nchi yako kwa ajili yangu mimi? Siasa za nchi yako zikibadilika zitanisaidia mimi? Mi naishi huko? Mi nikija huko hata airport sitoki ni moja kwa moja segerea sasa ntakuwa na Msaada gani kwenu nikiwa segerea? Mataahira kweli. Alafu ni Mi-UVCCM hii lazma. Embu acheni kuvuruga movement...... Tulieni muone mwenyekiti wenu akionyeshwa nguvu ya umma.. Kama unaogopa kuandama kalisha matako yako ndani hiyo siku wengine wajitoe kwa ajili alafu wakishinda uje na wewe kusherehekea... Pumbav
10k 479
Magufuli na Shein . . #Repost @voaswahili with @get_repost ・・・ Baada ya Mugabe, Zuma na Desalegn, nani anafuata?? #swalilaleo
9k 248
R.I.P Akwilina 😭😭😭
15k 670
Swali la msingi.... Maandamano yawe lini???
16k 864
Tuendeleee kusoma na kujifunza juu ya kufanikisha revolution..... . . Nimepata ushauri mzuri kutoka kwa professa mmoja.... Kanimbia ili revolution ifanikiwe demands hazitakiwi kuzidi 3. Zikishazidi 3 basi watu tunakosa kuwa na sauti moja na tutaanza kubishania Issue ndogo ndogo especially sababu tuna vyama tofauti na dini tofauti. So nimeona tubaki na hizi issue 3 ambazo naona ndio za msingi kwa Zanzibar na Bara kwa pamoja. 1. Marais wote wawili wajiuzulu 2. Katiba mpya 3. Marekebesho makubwa ya sheria za NEC na usimamizi wa uchaguzi. Viongozi wa NEC kujiuzulu - Tume huru . . Tukiweza kuyapata hayo mambo Matatu mengine yooote yatafanyiwa kazi tu..... . . Alafu naomba mtoe mapendekezo ya siku ( Jumatatu, Jumanne etc) . Usimsikilize yoyote atakae kuvunja moyo kuwa haiwezekani. Hata Ghana naamini Serikali yao haikutegemea, hata Tunisia au Egypt naamini Serikali zao hazikutegea kuna siku wananchi watalipuka na watapindua nchi!!!!! . . Ps: jana nimeposti sana so instagram wamenipa block ya 24hours siwezi kuedit posti zangu so kama nimekosea kitu inabidi nifute posti nzima
7k 151
Part 3. Hii serikali ina laana ya machozi ya wananchi kutoka pande zote.... Waislamu wanalia na serikali ya 5 polisi, Upinzani wanalia na serikali ya 5 na polisi, Raia wanalia na Serikali ya 5 na Rais. Basi hakika kuna tatizo kubwa sana #TanzaniaRevolution
11k 232
😭😭
11k 180
Dah 😭 mnamkumbuka yule kijana wa kiislam aliuwawa na askari few months bank. Wakasingizia eti alikuwa anaiba kwenye ATM ?? I think ndo kilikuwa kile kipindi cha Kibiti wakati wanauwa waislam hovyo hovyo... . . Imagine kina Sheikh Alhadi na Bakwata wako kimyaaaaa not a word. Kina Sheikh Ponda ndo wanahangaika na waislamu....😭😭😭😭
10k 175
Naombeni watanzania muelewe, hata Ghana walishawahi kufanya revolution. Na revolution hiyo ndio iliyozaa demokrasi ya kweli Ghana. Waghana hawachezewi na serikali yao hata kidogo. Na kilichosababisha revolution ya Ghana mwaka 1979 ilikuwa ni utawala mbovu, rushwa,ufisadi, masikitiko ya wananchi Yani na wao walikuwa wameichoka serikali yao na jeshi... . Kama waGhana waliweza kuleta heshima kwa viongozi wao why sisi tushindwe? Kama wakenya wameweza kujenga heshima kwao why sisi tushindwe? We can do this . . Na mnajua nini? Ni bora hata tunafanya wenyewe wananchi bila chadema. Maana kwanza hii itaatuunganisha watanzania wooote bila mtengano wa vyama. Pili OMG hii itamchanganya vibaya Magufuli sababu sasa hana viongozi wakuwa target ili kudhoofisha movement.Hakuna cha Lema wa kumkamata, hakuna cha Mbowe wa kumhoji Yani hana mtu wa Kum target ili aweze kuzima maandamano kabla hayajaanza. Haya maandamano hayana kiongozi, atamkamata nani? Atasema nani ndo anawaambia waandamane? Hana cha kuwaambia wananchi waambieni hao viongozi wenu wanaowaambia muandamane ndo Wakae mbele. Yani Safari hii ni ana clash na wananchi face to face. Akisema ani target mimi ili Maandamano Yafe hata akinitumia watu huku nikauwawa still hii peji haifiiii bado mtaendelea kuongozwa na wengine kwenye peji hii hii. Yani haya maandamano hayana jinsi yaku- control. So maybe it’s a good thing hatuko na chadema wala ACT.. Wale wangedakwa fastaa ku-weaken movement. Also ni bora tufanye wenyewe sababu itakuwa fundisho kwa chadema pia kuwa hata wao wakishika nchi wakituzingua tunauwezo wa kuwang’oa... Yani viongozi wataanza kutuheshimu wananchi..... . . Another thing, haya maandamano yakihappen nchi nzima, tutawashinda in 5 mins. Tanzania ni kubwa mnoooooooooo, hapo wajigawe waende kudhibiti ZNZ then wadhibiti bara, hawatotuweza hata dakika moja.. Hata Kagame akimwazima M-23 hawezi.Cha maana ni kwamba lazma tulipuke wooooote bara na visiwani at the same time. Hapo hatutopoteza maisha. Ila tukikosea wengine wakakaa ndani wengine wakati tunazimwa in 10 mins. So tusikurupe kwenye hili, tufikirie vizuri how much time we need hii habari isambae mpaka mikoani mpaka vijijin....
12k 549
#MchawiNiWaKwanzaKufikaMsibani . . . Samahanini kuna anaejua mazishi ya Akwilina ni wapi na lini?
12k 376