KFC Tanzania @kfctanzania
118 Posts
1k Followers
116 Following
Foleni barabarani inapokua ndefu, tumekusongezea mpango wa kupiga simu moja kwa moja na upate mlo bila stress.
66 4
Ni mengi tunayafanya kupitia kwa app. Ongezea kuagiza chakula kwenye orodha hii na KFC App. IOS https://goo.gl/F5KDuv android https://goo.gl/BexU1C
59 0
Kila Jumatatu huwa ni fursa ya kuanza upya…Usikose kujipa motisha na Krusher aina ile unapenda zaidi.
63 0
Watag marafiki zako kwenye comments uwatakie Ijumaa njema na uwakumbushe Streetwise 2 #flevaYaKitaa ndio mlo wa washkaji.
107 1
Hakuna sherehe la kitanzania inayokosa chakula bomba! Tutajie ni kipi ambacho ukikosa sherehe si sherehe tena.
96 5
Mwanangu! Badilisha menu leo na ujipe mlo classic wenye shibe wa Streetwise 2.
89 2
Ukishatia kikomo kazi za siku, jipe experience fresh na uagize kutoka KFC.
95 0
Jinsi waja hujihisi wakijua KFC delivery has got their back :)
107 8
Duh! kuna jambo moja la kweli- 'kipande kimoja hakitoshi'. Hivi chaguo safi ni Streetwise 2 #FlevaYaKitaa
83 0
Katika hali ya kusherehekea mwaka mpya, tudondoshee maazimio uliyo nayo mwaka huu.
92 0
Sio bonge la mlo tu, ni kumbukumbutunazunda tukifurahia filamu pamoja. Sherehekea msimu huu na KFC Festive Feast- vipande kumi vya kuku, Family chips, 2L Coca-cola na wings nane.
99 4
Kutoka kwetu hapa KFC Tanzania, tunawatakia mwaka mpya uliojaa mafanikio #happynewyear
69 1