Husna Abdul @dahuuofficial
799 Posts
220k Followers
315 Following
Hii ndio Picha ya kwanza kabisa ya heri muziki illiyomvutia @divatheebawse kumpemda heri muziki #leotena #tumkumbukenamtotowakiume
5k 500
@cloudsfmtz radio ya watu,mm sijajiunga na clouds ila nimekulia clouds,nikiwa naendesha kipindi cha watoto cha clouds enzi hizo "kipengele 12" na nilikuwa nafanya interview na vijana kutoka TYC mwaka 2003.
2k 67
MKE /MUME WAKO YUPO . Msimu Wa valentine umewadia,hakuna ambaye hatamani kuwa na mpenzi, lakini kuna watu kwa bahati mbaya huwa kila ukifika huu wakati unawakuta wapo single.sio kama hawataki kuolewa but hawajakutana na wanaume wanaoweza kuwaita mume,kwa wanaume pia wapo tayari kuoa kabisa lakini bado hawajakutana na wasichana wanaotaka au kufaa kuwa mke,kutokana na hayo ndio inatokea miaka inakwenda watu wapo single. Mtaalamu Wa saikolojia @chrismaukiphd alituambia kama unahitaji upate mchumba usiwe mtu wa kukaa nyumbani tu tembea toka wakuone,lakini nimewaza unaweza kutembea mpaka kamba za viatu zikakatika,unaweza kutembea Sinza kumbe mume wako yupo Chipuputa Mtwara,Nakupa GOOD NEWS Mimi nataka kurahisisha safari yako ya kumtafuta mke/ mume Wa kweli na unaye mtaka ...yupo ila hajmakutana tu. ....Natafuta wapenzi wapya watakao ridhiana na tayari kwa maisha ya ndoa,kuhusu sherehe ya harusi niachie mm, Note:msichana au mvulana atakaye taka kuoa tutafika mpaka kwao,Vigezo vingine vitafuata..... Kwa walio serious tu....2018 MKE/MUME WAKO YUPO. Sambaza taarifa hii muhimu 2018 ....
1k 63
Siku moja moja kigauni vepeee? #tumkumbukenamtotowakiume #january25-2018
6k 256
@qqt@qqtrends4u @qqtrends4u asante kwa gauni. Ila @annatanya79 Ahadi ulizoahidi muda umefika. #tumkumbukenamtotowakiume
2k 14
Ilibidi iwe hv @qqt@qqt@qqtrends4u @qqtrends4u @qqtrends4u #shishiswedding lakini pamoja na hayo #tumkumbukenamtotowakiume
5k 111
BREAKING NEWS HARMONISE amemuambia Shilole atafute gari yoyote yenye thamani ya shilingi milioni 9 na kumzawadia. DIAMOND Platnumz amemuambia Shilole kuwa hawezi kusema atampa nn ila achague anataka nn,dakika takriban 5 amezichukua shillole kuwaza zawadi lakini mwisho shishi ameamua kumuomba diamond amasaidie kutangaza biashara yake ya pilipili na diamond amekubali Mengi zaidi ndani ya Leo tena kesho .
5k 142
Ni kweli mambo ni fireeeeeeeeeee @farajanyalandu #tumkumbukenamtotowakiume
2k 23
INAUZWA ipo Kigamboni mji mwema million 90 tu.Maelezo zaidi 0652 080 493 na 0620 325 185 @jen@jen@jengarealestate @jengarealestate @jengarealestate
1k 18
Japo kuwa jamii,Mila, Tamaduni,Mashirika,Tasisi, serikali inamuangalia sana mtoto wa kike lakini niambie Mtoto Wa kiume Wa Leo yupo salama? #tumkumbukemtotowakiume @dah@dahuufoundation @dahuufoundation
1k 24
TUMKUMBUKE MTOTO WA KIUME Naomba uniambie umeelewa nn kwa kusema #tumkumbukemtotowakiume
4k 68
Kwa mbiiiiiindeeeeeeee
3k 195