Clouds TV 馃嚬馃嚳 @cloudstv
9k Posts
941k Followers
102 Following
@Regrann from @millardayo - Mwimbaji Staa wa Bongofleva @VanessaMdee kuanzia saa kumi jioni leo January 20, ametangaza kuwepo Mlimani City Dar es Salaam #MoneyMondaysPopUpShop kukutana na Mashabiki wake na kuwauzia album yake mpya. _ Japo Vee atakuwepo kuanzia saa kumi, Duka limeshafunguliwa kuanzia saa nne asubuhi hii. _ Pamoja na kuwauzia Mashabiki album yake, Vee pia atatoa nafasi kwa kila Shabiki kupiga nae picha/selfie. _ #MillardAyoUPDATES - #regrann
1k 16
#Clouds360 on Saturday ipo kwa hewa, fungulia #CloudsTv ukutane na Wamanta wenye madini ya kutosha Cc. @officialcza @masoudkipanya @gipson_george
1k 11
Umewahi kuona 'sista duu' wanatoka kwenye nyumba chafu? Mitaro haieleweki. Makamu wa Rais Mama Samia amesema hilo lipo na hivyo amewaagiza watendaji kuhahakisha elimu ya kutosha inatolewa kukabiliana na uchafu. Video/ Ofisi ya #MakamuWaRais
535 8
Time ya #SizKitaa ndiyo hii @castodickson yupo tayari na @mcpilipili kukujuza yote ambayo huyajui.
1k 11
Hiki ndicho kinatajwa kusababisha @divatheebawse na @herimuziki kuzinguana, Kwa story zaidi tembele (You Tube channel yetu) 'CloudsMedia' na upate story kwa undani wake
795 7
Muandalie mtoto wako maisha bora ya baadae kwa kumfungulia #NMBMtotoAkaunti na kumfudisha namna sahihi ya kujikimu kifedha.Kujua zaidi piga 0800 002 002 BURE
407 3
Wikiendi inaanza leo na hakika unahitaji muziki mzuri. Hii hapa ndio ngoma ya kutazama ni #Mwaaah ya @moni_centrozone na @countryboytz (kundi lao linaitwa #MOCO) Nenda kwenye bio zao ama itafute #YouTube
817 10
"Muziki wa sasa umekuwa 'Bubble gum' sababu wasanii wengi聽kwa sasa wanazungumzia mapenzi na hakuna kitu kingine ambacho wanazungumzia, hata sisi wasanii wa zamani tukija tunaonekana kushindwa sababu tunatoa ngoma ambazo zinazungumzia mambo mengine" #MikeT amesema hayo kwenye #MjiWaBurudani na @thisistei @fezakessy
1k 15
@herimuziki AKANA MAHUSIANO NA DIVA. Kupitia #LeoTena ya @cloudsfmtz leo, Msanii Heri Muziki alikuja na Diva katika kile kilichoonekana kama ni wapenzi walioshibana. Katikati ya mahojiano, Heri alionekana kuwa na kigugumizi kukubali penzi lake kwa Diva na mwisho wa siku alisema 'wameweka mahusiano kando na sasa wanafocus kwenye kazi' Kwa upande wake Diva alisema '' kama ameamua kunikana sawa....."
3k 47
"Stori za kuwa nina mahusiano na @Divatheebawse, zina ukweli ndani yake 'kidogo'......Tumekuwa kwenye mahusiano kwa mwaka sasa, ila kwa sasa tumeweka mahusiano pembeni" @HeriMuziki . Sikiliza #LeoTena sasa hivi. . . #WaambieNewjoint
2k 27
Usikose kufuatilia sehemu ya mwisho (Final Chapter) ya simulizi hii ya OMEGA na MKEWE leo kupitia @cloudstv habari...Tunashukuru kwa baadhi ya watu/Makampuni yaliyoguswa na simulizi hii na kuonyesha nia thabiti ya kuwasaidia wapendanao hawa. Tunaelekea kwenye msimu wa Mapenzi (Valentine day) ifanye hii kuwa couple yako bora kabisa kwa kuwasaidia chochote unachoona kitawafaa kuendesha maisha yao.#SimuliziyaOmeganaMkewe#Familiahiiinahitajimsaadawako
858 20
Hii inafanyika kila Jumatatu hadi Jumamosi na kuonekana saa 3:30 kupitia #CloudsTv na #EATV. Mtangazaji ni @millardayo . . Cheza sasa ambapo kuna nafasi kubwa zaidi kushinda milioni 10 za #MzukaDeile iwapo utaandika neno WEB baada ya namba zako 3 za bahati. #UkishindaTanzaniaInashinda
551 14