Clouds Fm 🇹🇿 @cloudsfmtz
21k Posts
2.1m Followers
131 Following
#SocialBuzz: @rosa_ree atoa maana ya tattoo alizochora kwenye sehemu za mwili wake. Cc: @johnjakson_tz. #CMG.
964 15
Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule? Ni ngumu kuamini lakini leo kwenye #XXL amefunguka kuwa hakubahatika kupata elimu ya sekondari katika maisha yake, elimu pekee aliyoipata ni ya shule ya msingi. . . ‘’Kutokana na matatizo kwenye familia yangu sikubahatika kupata elimu ya sekondari" @daynanyange
6k 49
Kwa muda mrefu alikuwa Marekani, Raha za kule zimemfanya @daynanyange aonekane kama alivyo hivi sasa,.... Vipi kuhusu tetesi kuwa ana ujauzito? Vyote atavijibu kwenye #XXL Leo..... #SalesaleNewJoint @bdozen @kenedytheremedy @adamchomvu @mamybabytz
4k 49
Frank Mollel wa Loliondo Arusha ndio MSHINDI wa MILIONI 10 za Bahati nasibu ya TATU MZUKA jana February 21 _ Mshindi wa Milioni 10 za leo atatangazwa saa tatu na nusu usiku CLOUDS TV, kujaribu bahati yako kwa kutuma kati ya Shilingi 500 hadi Elfu 30 kwenda namba ya kampuni 555111 ikifatiwa na namba zako 3 za bahati na neno WEB. ( mfano 578 WEB ) _ #TATUMZUKA #SimuyaTATUMZUKA -
321 3
Rais wa Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA - Gianni Infantino amewasili nchini alfajiri ya leo kwa ajili ya Kongamano Maalum la kujadili maendeleo ya mchezo wa soka Africa. Infantino ameongozana na Rais wa Shirikisho la soka la Afrika, Ahmad Ahmad. Viongozi hawa soka duniani walipokolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe. : Baada ya kuwasili Infantino alitumia dakika kadhaa kuzungumzia muelekeo wa soka nchini: "Nilisikia mchezaji bora wa Afrika amewahi kutokea hapa - Mbwana Samatta ambaye sasa anacheza Genk, hii ni nchi ya mpira licha ya changamoto za shirikisho siku za nyuma lakini kwa sasa mpo kwenye mstari mzuri kutokana na uongozi mpya kwa kushirikiana na CAF pamoja na FIFA,” - alisema Gianni Infantino.
4k 21
Manchester United imeanza na sare ugenini dhidi ya Sevilla - shukrani kwa ubora wa golikipa wao David De Gea. : Shakhtar Donetsk wakiwa nyumbani wameifunga AS Roma magoli 2-1. Mechi hizi za hatua ya 16 bora ya UEFA Champions League zitarudiwa wiki mbili zijazo.
1k 12
"Nawashauri vijana wenzangu kujikita kwenye kilimo kwani kitasaidia kukuza uchumi wetu" 🎤 Amesema @brightmusictz ambaye ameamua kujita kwenye kilimo cha Mpunga na Mahindi. #SocialBuzz. #AmkaInakusuburiDunia
1k 20
Mabingwa wa #DSM #SportsXtraNdondoCup2017 #MisosiFc aka (#TeamClouds360) leo wamethibitisha umwamba wao katika michuano ya #Ndondo baada ya kuwachapa #GomsUnited bao 1-0 na kutwaa #NdondoCupSuperCup2018. Cc: @hassan_ngoma @samsasali @babbiekabae (#TimuYaTaifa). #Waletee.
1k 5
FT: St. Louis 🇸🇨 1-1 Yanga 🇹🇿 ( Agg 1-2 ) #CAFChampionsLeague : : Yanga inafuzu hatua ya raundi ya kwanza na sasa inasubiri mshindi kati ya Al Merriekh ya Sudan na Township Rollers ya Botswana.
2k 30
Unajua nani na nani walipendeza kwenye usiku wa #NandyAslayNaMarafiki ? @dogojanjatz kuambiwa kavaa kama waimba kwaya wa 'UpendoGroup' na @geahhabib kutokwenda kwenye shughuli kama hana nguo mpya? Yote utayapata leo kwenye #Storms saa tatu kamili usiku kupitia @cloudstv na @lilianemasuka @director_sicos_tz
583 6